Tangazo la anko kidevu

Tangazo la anko kidevu

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,452
Reaction score
609
jaman mwenye hili tangazo la Anko kidevu naliomba liwe mp3 au mfumo mwingine aliweke humu au PM.

… babaa, mbona we huninunulii soda kama anko kidevu?…
 
..Si yule anamchumu mama kwe gali lake! Alaf anamwambia i love you too!! Ha ha ha mama hoi!! .....
 
Hahahah michepuko siyo dili baki njia kuu.
 
jaman mwenye hili tangazo la Anko kidevu naliomba liwe mp3 au mfumo mwingine aliweke humu au PM.

… babaa, mbona we huninunulii soda kama anko kidevu?…

Lile tangazo zile sauti Za ile ya Kitchen Party na Baba Kidole ameigiza mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya DITTO jamaa ana kipaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom