Siku ya Ijumaa kuna mfanyakazi mwenzangu alikuwa anasafiri toka Mlandizi kuja Dar es salaam bahati mbaya kuna abiria mmoja anaitwa Bw. Mussa Bendera kwa mujibu wa nyaraka zake, alimuomba amhifadhie bahasha sababu basi lilikuwa limejaa sana, bahati mbaya huyu Bwana alishuka njiani pasipo kukumbuka bahasha yake.
Kwa mtu yeyote anayemfahamu amwambie apige simu hii hapa 0787840749 ili achukue nyaraka zake.
Kwa mtu yeyote anayemfahamu amwambie apige simu hii hapa 0787840749 ili achukue nyaraka zake.