tangazo jipya toka loanboard

Aug 13, 2012
18
0
bodi ya mikopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
 
unauliza au unajibu km unajibu ni uongo maana wamesema 17% itakua kwa wale ambao wenye non priority programs

we jamaa soma vizuri taarifa,hiyo asilimia 17% ni taarifa ya awali. Mchakato unaofuata ni wa wanafunzi 1107 na wamechanganua, na wote ni priority. So we ndo unataka kuongopa hapa. Hii ni kwa mujibu wa HabariLeo.
 
tena sio priority only but for those were not allocated loarns due to the failure of submitting incomplete application form
 
Back
Top Bottom