Tangazo gazetini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo gazetini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Edmund, Nov 12, 2010.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi ingekuwaje? wanaJF kama kila tukiachana tunaenda Gazetini kuweka tangazo la rangi na ukurasa wa mbele kama hivi.

  TANGAZO
  Kuanzia leo tarehe.................., mimi ...................... natangazia umma rasmi ya kwamba uhusiano wangu na Bi/Bw................................. ndio umefikia mwisho.

  Wasalaam, wanaJamii Wote
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  NNNNZURI SANA KWA SABABU UTAPATA MWENGINE AS SOON UTAKOPOJULIKANA SINGLE...:smile-big:
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa poa kweli lakini mmmhhh utasumbuliwa na waliokuwa wanakutamani
   
 4. F

  Ferds JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  hii ingekuwa inaambatana na tangazo la kutafuta ngoma mpya attached ktk la kuachana ingekuwa mzuka mbaya
   
Loading...