Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,502
- 8,690
Sijawahi ona tangazo bayaaa kama hili la wembe mr kick yaani halina hata mvuto wameshindwa hata kutafuta hata jezi zisizo na nembo ya man city na fly emirates
linanikera mno hili tangazo
linanikera mno hili tangazo