Bahati Raphael
New Member
- Jul 5, 2017
- 2
- 0
TANGAZO; yah mabadilishano. Mimi Elizabeth milambo nilie katika idara ya afya cheo changu ni medical attendant nipo mkoa wa pwani wilaya ya kibaha , naomba. Kubadilishana kituo cha kazi na mtu kutoka mkoa wa Rukwa kwa yeyote alie tayari tuwasiliane kwa namba 0628159381 au 0789820462