Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 54
Nadhani maeneo ya lupembe huko ambako wanalima chai pia!!Njombe sehemu gani wanalima tangawizi?
hii ngumu mkuu,tunauza kuanzia kilo 500Mi nataka kilo moja Mkuu, niko makambako
ngumu mzee,tunauza kilo kuanzia 500Mi nataka kilo moja Mkuu, niko makambako
kilo sh 2000,tunauza kuanzia kg 500...maelewano yapoBei gani kwa klio
Tunalima Madaba...tulikuwa na plan ya kuzisogeza Njombe lakini tumeghairi,tunauzia huko huko shamba ila mteja akitaka tutamsafirishia mzigoNjombe sehemu gani wanalima tangawizi?