Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Nov 19, 2011 #1 Wakati wadanganyika wamelala wajanja wanakula kwa jina la Tanganyika. Tembelea Tanganyika Wildlife Park huko Wichita, Kansas, USA. Tanganyika Wildlife Park,
Wakati wadanganyika wamelala wajanja wanakula kwa jina la Tanganyika. Tembelea Tanganyika Wildlife Park huko Wichita, Kansas, USA. Tanganyika Wildlife Park,
BABU CHONDO JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 855 Reaction score 139 Nov 20, 2011 #2 Karibu pia huku kuna TANAPA
SOBY JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 1,268 Reaction score 461 Nov 20, 2011 #3 Hivyo vimwana loh!! Haswa huyo aliyekaa.
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,931 Reaction score 1,728 Nov 20, 2011 #4 SOBY said: Hivyo vimwana loh!! Haswa huyo aliyekaa. Click to expand... Biashara ni matangazo!
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,904 Reaction score 27,433 Sep 4, 2013 #5 Unategemea tutaona mbali zaidi hapo walipo hao mabint?