Tanganyika Special Threads

Tanganyika Special Threads

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,628
Reaction score
5,425
GT.

Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu.

Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa. Tuitambulishe tena nchi yetu.

Yapo mengi yasiyosahaulika nchi hii na Tanganyika ni moja wapo.

images.webp
 
sio Tanzania bara ? kama wanavyoiita 😁
 
Nchi ya wapumbavu..... Ukabila na chuki kwa ukanda. Kaskazini inachukiwa bila sababu Zanzibar wakiwafurusha mnaanza kuhusisha ujinga. KASKAZINI ITENGWE TU TUJUE...... Kaskazini hatupo danganyika ya wapumbavu na malofa.
 
Bendera yetu mbona haina rangi ya blue?

Kingewekwa kirangi cha blue hata hapo katikati ya nyeusi coz bahari maziwa na mito tunayo.
 
Siku muungano ukivunjika nitaenda kukojoa baharini ikiwa ni ishara nimewakojolea wazanzibary
 
GT.

Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu.

Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa. Tuitambulishe tena nchi yetu.

Yapo mengi yasiyosahaulika nchi hii na Tanganyika ni moja wapo.

View attachment 3539719
Asili ya jina la Tanganyika ipi ?
 
Nyerere kauza jina la Tanganyika sasa halitambuliki tena
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hakuna watu wajinga kama watanganyika. Jina la nchi yao wanaliona kama tusi. Kule zanzibar wanajisikia fahari kuita nchi yao zanzibar

hapa bara neno "tanganyika" linasikika angalau ikitajwa TLS, IST na tanganyika packers

tofauti na hapo huwa wanasema tanzania bara, tanganyika lilishajifia, limeibuka kwa nguvu hapa kati baada ya maza kizimkaz kuishika ikulu,
 
Nchi ya wapumbavu..... Ukabila na chuki kwa ukanda. Kaskazini inachukiwa bila sababu Zanzibar wakiwafurusha mnaanza kuhusisha ujinga. KASKAZINI ITENGWE TU TUJUE...... Kaskazini hatupo danganyika ya wapumbavu na malofa.
Ni gani chalii.
 
hapa bara neno "tanganyika" linasikika angalau ikitajwa TLS, IST na tanganyika packers

tofauti na hapo huwa wanasema tanzania bara, tanganyika lilishajifia, limeibuka kwa nguvu hapa kati baada ya maza kizimkaz kuishika ikulu,
Arf Kuna na kawilaya sijuh huko katavi et ndo kanaitwa Tanganyika
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom