Tanganyika Siijui

Tanganyika Siijui

Character X

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
331
Reaction score
382
Comrades salaam,

Nahuzunishwa sana ninaposikia hoja za Utanganyika,

Zina niudhi zaidi kwa unafiki wake, watu hawa hutumia pretex kwamba ATI wanatetea " maoni ya Wananchi" ilihali ndani mwake wamejaa njaa na kiu ya madaraka!

Watu hawa hawana soni, watu wa ajabu sana!

Nilidhani tungekuja na Hoja za kutaka sasa serikali MOJA!! Taifa MOJA!! la watu wa MOJA!

Lakini badala yake unasikia watu wakidai "Tanganyika yao"??

What Is Tanganyika??!??????

Watu hawa Wako tayari kuiharibu Nchi yetu hivihivi tu,.

Nasema tunaweza tukazungumza tu namna yakuujenga muungano imara zaidi lakini sikuubomoa!

Nchi yangu ni MOJA!! nchi yangu ni Tanzania, Tanganyika Siijui, sinahaja nayo.

siujui msimamo wa chama changu CHADEMA, lakini huo ndio msimamo wangu.

Comrades,

Nawashukuru.
 
Pole sana we limjamaa. Kwani we upo nchi ya Zanzibar au Tanganyika coz huo muungano unaotaka uboreshwe ndo wa hizo nchi mbili. Nchi moja ya Zanzibar ipo wazi ila hii Tanganyika ndo kama imezimia na mchakato huu wa katiba ndo unalenga kuizindua ili ijue imeunganishwa na nchi ya Zanzibar na kupata kitu kinachoitwa Tanzania.

Wewe upo Zanzibar au Tanganyika????
 
Zanzibar hawataki selikali moja ndo mana tunataka tanganyika yetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Inaelekea umezaliwa mwaka 1990 na hujishughulishi kujua historia ya nchi. Pole sana
 
mimi niko Nchi inaitwa Tanzania!! upande wa Tanzania Bara,.

Nasema Tanganyika siijui, wala siihitaji,.

Mimi ni mtanzania ninaishi Tanzania bara, na si Tanganyika. Nchi hiyo haipo!!!!
 
Viongozi WALAFI wamadaraka wa Zanzibar na wengine wa bara ndio wasiotaka serikali moja, lakini sisi wananchi wa pande zote TUNATAKA NCHI MOJA YENYE SERIKALI MOJA!!!

Kwanini mnatubagua??! Kwanini kutupandia CHUKI????!!

HAPANA! hatuta kubali
 
Umekosea Sana, Naukitaka kujua umekosea twende hapa kuhusu historia, nikuone wewe unaejidhania "unajishughulisha" kuijua historia ya Nchi.
 
mimi niko Nchi inaitwa Tanzania!! upande wa Tanzania Bara,.

Nasema Tanganyika siijui, wala siihitaji,.

Mimi ni mtanzania ninaishi Tanzania bara, na si Tanganyika. Nchi hiyo haipo!!!!

Hakuna nchi inaitwa Tanzania, ipo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Halafu ukishakubali rekebisho hili, nijibu hii Jamuhuri ilitoka wapi na lini? Halafu la pili, nijibu tarehe 9 December huwa tunaadhimisha uhuru wa nchi gani? Itendee haki akili yako ndugu, hujapewa ili iwe urembo.
 
Nchi hizo unazozifahamu wewe zilikufa kifo cha kawaida tarehe 26 April 1964!!

Usidandie vitu kama hujui,.

Katiba tuliyo nayo inaiita hii kua Nchi MOJA!! Nasio nchi mbili.,

Zanzibar wamevunja katiba maranyingi kwakujiita Nchi na serikali imekaa kimya, lakini katiba tuliyo nayo inaiita Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuwa NCHI MOJA yenye pande mbili, bara na visiwani.

Tarehe 9 December ni uhuru nchi ILIYOKUWA ikiitwa Tanganyika ambayo kwasasa HAIPO, ilikufa baada ya Muungano watanganyika na Zanzibar.

Tanzania ilipozaliwa Hiyo ndiyo Nchi tuliyo nayo!!!! Ina Tanzania bara na visiwani, hatuna Nchi inaitwa Republic of Tanganyika Wala Republic of Zanzibar hizo zili danja kitambo.
Sizijui, sizitambui sizi hitaji!!!!!!
 
Huyo ni wewe na una uhuru wa kuwa na mawazo hayo !

Na wengine nao wana mawazo yao, nao wana huo uhuru pia............

Kinachokwenda kuamua hatma ya Tz either iwe na serikali 1,2,3 ni maoni ya watanzania kwa ujumla wao. Sio wewe wala mimi bali sisi ni sehemu tu ya hayo maamuzi ila kwa ujumla wetu waTz ndio tutakaoamua.

Hayo maoni ya waTz ni yapi ? Mimi nadhani kutokana na tume ni serikali 3....

mimi niko Nchi inaitwa Tanzania!! upande wa Tanzania Bara,.

Nasema Tanganyika siijui, wala siihitaji,.

Mimi ni mtanzania ninaishi Tanzania bara, na si Tanganyika. Nchi hiyo haipo!!!!
 
Nani kakupa ruhusa ya kuwa msemaji wa wananchi ? Kumbuka wananchi unaowaongelea ni pamoja na mimi ambaye sikubaliani na wewe kwani mimi ninataka serikali ya tangayika irudi !. Hata hao viongozi unaowalaumu nao ni sehemu ya wananchi hivyo wana uhuru wa kuwa na mawazo yao na kuyasemea !

Sauti ya kweli ya wananchi inajilikana kwenye kura ya maoni...hivyo kukata mzizi wa fitina wa either serikali 2 au 3 ni kuitisha kura ya maoni.

Viongozi WALAFI wamadaraka wa Zanzibar na wengine wa bara ndio wasiotaka serikali moja, lakini sisi wananchi wa pande zote TUNATAKA NCHI MOJA YENYE SERIKALI MOJA!!!

Kwanini mnatubagua??! Kwanini kutupandia CHUKI????!!

HAPANA! hatuta kubali
 
Comrades salaam,

Nahuzunishwa sana ninaposikia hoja za Utanganyika,

Zina niudhi zaidi kwa unafiki wake, watu hawa hutumia pretex kwamba ATI wanatetea " maoni ya Wananchi" ilihali ndani mwake wamejaa njaa na kiu ya madaraka!

Watu hawa hawana soni, watu wa ajabu sana!

Nilidhani tungekuja na Hoja za kutaka sasa serikali MOJA!! Taifa MOJA!! la watu wa MOJA!

Lakini badala yake unasikia watu wakidai "Tanganyika yao"??

What Is Tanganyika??!??????

Watu hawa Wako tayari kuiharibu Nchi yetu hivihivi tu,.

Nasema tunaweza tukazungumza tu namna yakuujenga muungano imara zaidi lakini sikuubomoa!

Nchi yangu ni MOJA!! nchi yangu ni Tanzania, Tanganyika Siijui, sinahaja nayo.

siujui msimamo wa chama changu CHADEMA, lakini huo ndio msimamo wangu.

Comrades,

Nawashukuru.

nani anagembea madaraka ni CCM au vyama vya upinzani.CCM ndo wanangangania seriakali mbili maana wanajua seriakli tatu watakuwa hawapo.Unaetetea seriakli mbili hujui kuwa tanaganyika ilipata uhuru mwaka 1961 na kuungana na zanzibar 1964 ndo Tanzania ikazaliwa umesahau au
 
Hakuna nchi inaitwa Tanzania, ipo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Halafu ukishakubali rekebisho hili, nijibu hii Jamuhuri ilitoka wapi na lini? Halafu la pili, nijibu tarehe 9 December huwa tunaadhimisha uhuru wa nchi gani? Itendee haki akili yako ndugu, hujapewa ili iwe urembo.

Umenena kweli Mkuu. Hakuna nchi ijulikanayo kama Tanzania, bali ipo nchi ijulikanayo kama United Republic of Tanzania, au kwa Kiswahili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano huo ulitokana na kuunganisha Tanganyika na Zanzibar. Wakati huu Zanzibar inaposema kuwa ni nchi huru na kuweka bayana mipaka ya nchi yake, ule upande uliobakia bado utaitwa Tanzania? La hasha. Huko ni Tanganyika. Tupende, tusipende Tanganyika itaendelea kuwepo. Kuikana Tanganyika ni kujikana mwenyewe!!
 
Tanganyika ndiyo nchi yetu!!! Zingine ni maruhani!

Tanganyika ndiyo nchi aliyopigania babu yangu na siyo Tanzania yenye mizengwe!

Tanganyika ndiyo huwa nasherehekea uhuru wake na jamhuri kamili tarehe 9/12 kila mwaka na siyo Tanzania ambayo sijui ilipata lini uhuru wake!

Tanganyika ndiyo jina asili la nchi hii na siyo Tanzania jina la ku-unga unga!

Tanganyika ndipo yalipo makaburi ya mababu zetu na siyo Tanzania!

Tanganyika Tanganyika Tanganyika nakupenda sana!
 
Comrades salaam,

Nahuzunishwa sana ninaposikia hoja za Utanganyika,

Zina niudhi zaidi kwa unafiki wake, watu hawa hutumia pretex kwamba ATI wanatetea " maoni ya Wananchi" ilihali ndani mwake wamejaa njaa na kiu ya madaraka!

Watu hawa hawana soni, watu wa ajabu sana!

Nilidhani tungekuja na Hoja za kutaka sasa serikali MOJA!! Taifa MOJA!! la watu wa MOJA!

Lakini badala yake unasikia watu wakidai "Tanganyika yao"??

What Is Tanganyika??!??????

Watu hawa Wako tayari kuiharibu Nchi yetu hivihivi tu,.

Nasema tunaweza tukazungumza tu namna yakuujenga muungano imara zaidi lakini sikuubomoa!

Nchi yangu ni MOJA!! nchi yangu ni Tanzania, Tanganyika Siijui, sinahaja nayo.

siujui msimamo wa chama changu CHADEMA, lakini huo ndio msimamo wangu.

Comrades,

Nawashukuru.

Sawa wewe ni mtanzania. Umepatikana kwa kuunganisha nchi mbili. Moja ni Zanzibar ambayo ilikataa katakata kuitwa Tanzania visiwani. Naomba utueleze hiyo nyingine iko wapi? Utakana mpaka historia yako, eti mfano baba yako akiwa amefariki basi na wewe usiitwe kwa jina lake
 
Back
Top Bottom