Tanganyika packers Kuzimia, Hii ni Baada Ya Tanga

attachment.php

Kilichoniuma ni hili gofu,hapo kungekuwa na kiwandacha nyama,na watu wangekuwa wanapiga mzigo ila kutokana na kuwa na watu bongolala kama waziri mkuu Sumaye na Lowasa wasio na vision ndo leo malofa mmekaa juu ya gofu ambalo kutokana na ujinga wa hao mliokwenda kuwashangilia
 
Jamani nielekezeni njia rahisi ya kufika Tanganyika packers, maana naona hii jam ya leo itanichelewesha kufika kwenye tukio, nimefikia hapa Magomeni Mapipa!

Unaenda wapi huko wakati wwe si wa jmbo kawe? Ama wewe ndo umekodiwa kweda kuanguka kifafa!!
 
hivi kuzimia kwenye upuuzi wa kampeni ni ujiko enhee?

Ndivyo CCM wanavyosema. Ndio maana walidai eti wale wa Tanga walizimia makusudi... Indirectly, inaashiria kwamba mkutano umekuwa na WATU WENGI sana, hivyo wengine wamekosa hewa kupelekea kuzimia. Ni mwendelezo wa vituko kampeni za mwaka huu. Nasikia CCM wao waliamua kuwalipa watu ili 'wazimie' Dodoma, sijui kama ni kweli au si kweli.

Sitashangaa hata kidogo nikiambiwa ilikuwa kweli!
 
Morogoro Uwanja wa Jamhuri walifunga milango ili watu wasiwakimbie matokeo yake wakasababisha vifo kwa watu wasiokuwa na hatia wakiwemo watoto wadogo
 
Nilikua na shughuli zangu nilipopaki gari hamna namna ya kuondoka, hapa sina jinsi zaidi ya kusitisha shughuli na kumsubiria lowassa
 
Twawezeshwa wapo wapi waje wafanye utafiti waone kama kuna wazee?vijana tuanaiangusha ccm october asubui na mapema
 
Baada ya Ccm kujitahidi kubeba watu na matrekta/Mafuso dodoma kwa nia ya kuwazimisha watu lakini walichemka.
Hata wale waliotolewa Dar na masaburi wakazime nao walishindwa zoezi hilo baada ya kumtoroka
Sasa leo ni zamu ya wana Dar es salaamu kuzimia kwa hiari kwenye viwanja vya Tanganyika pekaz kawe
Mpaka sasa watu wameanza kuja eneo la tukio wakimsubiri Lowassa na tema yake wapate tiba ya mabadiliko
Watu ni wengi na wote wanaimba wimbo wa mabadilko tu.

Mleta habari, usishangae ccm wakasema hata wewe ni wakutengenezwa you even don't exist, kama vile walivyosema TWIGA anaotangliza mkubwa kwenye makazi mapya kwamba nao ni kutengenezwa.

Mungu yuko na Watanzania.
 
Kilichoniuma ni hili gofu,hapo kungekuwa na kiwandacha nyama,na watu wangekuwa wanapiga mzigo ila kutokana na kuwa na watu bongolala kama waziri mkuu Sumaye na Lowasa wasio na vision ndo leo malofa mmekaa juu ya gofu ambalo kutokana na ujinga wa hao mliokwenda kuwashangilia

Sidhani kama hata ulichokiandika unakielewa.
 
Kilichoniuma ni hili gofu,hapo kungekuwa na kiwandacha nyama,na watu wangekuwa wanapiga mzigo ila kutokana na kuwa na watu bongolala kama waziri mkuu Sumaye na Lowasa wasio na vision ndo leo malofa mmekaa juu ya gofu ambalo kutokana na ujinga wa hao mliokwenda kuwashangilia

Umetumwa kawaambie Lowasa yupo kwenye kampeni
 
Baada ya Ccm kujitahidi kubeba watu na matrekta/Mafuso dodoma kwa nia ya kuwazimisha watu lakini walichemka.
Hata wale waliotolewa Dar na masaburi wakazime nao walishindwa zoezi hilo baada ya kumtoroka
Sasa leo ni zamu ya wana Dar es salaamu kuzimia kwa hiari kwenye viwanja vya Tanganyika pekaz kawe
Mpaka sasa watu wameanza kuja eneo la tukio wakimsubiri Lowassa na tema yake wapate tiba ya mabadiliko
Watu ni wengi na wote wanaimba wimbo wa mabadilko tu.
Kibo10, hakuna update? huku bombambili tuna hamu ya kuona campaign sehemu ya pili inavyoanzishwa, #Torokauje
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Ccm kujitahidi kubeba watu na matrekta/Mafuso dodoma kwa nia ya kuwazimisha watu lakini walichemka.
Hata wale waliotolewa Dar na masaburi wakazime nao walishindwa zoezi hilo baada ya kumtoroka
Sasa leo ni zamu ya wana Dar es salaamu kuzimia kwa hiari kwenye viwanja vya Tanganyika pekaz kawe
Mpaka sasa watu wameanza kuja eneo la tukio wakimsubiri Lowassa na tema yake wapate tiba ya mabadiliko
Watu ni wengi na wote wanaimba wimbo wa mabadilko tu.

Me mtu akinpa buku nazimia
 
Back
Top Bottom