Tanganyika mkimaliza Malawi ni zamu ya Zanzibar na huko Mafta na Gasi iko pia.

mkataba

Senior Member
Jul 6, 2012
147
37
Inasikitisha kuona uongozi wa Seriakli ya Tanganyika ukikimbilia vita kwa nchi kama Malawi bila hata ya kufikiria kwa undani athari na matokeo yake, letu jicho tuuu.

Lakini hicho kinachogombaniwa ktk ziwa hilo tujiulize kimetunufaisha vipi kwa wakati huu ambao tayari tuna gasi, maadini ya aina tofauti ndani ya mipaka yetu na hakuna liwalo zaidi ya ufisadi????

Hapo kuna picha inatueleza kuwa Tanganyika italazimika kutumia nguvu au kuipiga na kuinyanga'nya Zanzibar ikiwa watajaribu kuchimba mafuta na gasi yao.
 
Back
Top Bottom