Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
na juzi kati hapa tulisherehekea uhuru wake kwa kuchoma mabilioni kwa muda wa masaa tu.Tanganyika ni nchi
......kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika
Hebu tuweke sawa kwanza hapo hizo nchi kwenye red zimezungukwaje na South Africa?[/QU.... Labda alimanisha Swazland na SA, Guinea Bisau na SENEGAL?
Tanzania au Tanganyika? mimi bado sijakupata maana muungano ukivunjika sijui kama kuna kitu kitakuwa kinaitwa Tanzania(Muungano wa Tanganyika na Zanzibar).Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
au alimaanisha sa na lesotho.Hebu tuweke sawa kwanza hapo hizo nchi kwenye red zimezungukwaje na South Africa?[/QU.... Labda alimanisha Swazland na SA, Guinea Bisau na SENEGAL?
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
Tanganyika ni nchi
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
hapo umezungumza,ni swala la kitanganyika zaidi hilivisiwa vinazama hivyo sisi hatuvipigii hesabu hapo tunapigia hesabu eneo la wajukuu zetu la kuvulia samaki.
visiwa vinazama hivyo sisi hatuvipigii hesabu hapo tunapigia hesabu eneo la wajukuu zetu la kuvulia samaki.