Tanganyika kuivuruga CUF inazidisha hisia za utaifa(nationalism) kwa wazanzibari

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Haya ni maoni yangu

Lile zimwi la Tanganyika kuonekana "inaionea" Zanzibar sasa inapata sura mpya,ni wazi kwamba lipumba anatumika na Taasisi za Tanganyika ili kukandamiza Zanzibar

nasema Tanganyika kwa kuwa Taasisi za Tanganyika ndizo zinatumika kuikandamiza CUF kwa kuwa tu ina mizizi thabiti Zanzibar.

Taasisi zinazoonekana kutumika ni Ofisi ya Msajili wa Vyama ambayo tangu ianzishwe haijawahi kuongozwa na mzanzibari achilia mbali hata kuwa na Msaidizi wa msajili kutoka Zanzibar

Taasisi nyingine zinazotumika ni mahakama,mahakama kwa makusudi wameamua kuzichelewesha kwa makusudi kesi zinazohusu chama hicho japo mahakama ina majaji wengi na muda wa kutosha

Bunge la jamhuri ya muungano limeacha kazi ya kuisimamia serikali na kuwa mshirika wa serikali katika kuikandamiza Zanzibar,ikumbukwe spika na naibu wake wote ni watanganyika

Pia ofisi ya RITA ni taasisi ya Tanganyika isiyo na ushiriki wa Zanzibar lakini inataka kuamua mambo yanayoathiri taasisi zinazovuka chumbe

Hii hali inaibua hisia Kali za kitaifa na utaifa wa wazanzibar,wazanzibari wanaikumbuka Zanzibar yao,laiti wangekuwa huru wasingekuwa wananyanyasika hivi kwa makucha ya taasisi hizi

Kuna visiwa vidogo kama Comoro,wanaishi raha mustarehe hawajachomwa na kucha za nchi yeyote

Zanzibar imeanza kupata ustaarabu na kujitawala wakati Tanganyika ni mapori tu,hawajui lolote

Zanzibar imeanza kupokea wageni wa kimataifa miaka na miaka,na imejitawala muda mrefu

Zanzibar ilikuwa dubai kwa karne na karne,leo inapondwa pondwa,wazanzibari sasa inabidi waisimamie Zanzibar kabla Zanzibar haijawa dhoofu sana kuwatetea wazanzibari
 
Sasa hivi CCM wanajuta kwa Lipumba kuwafukuza wale wabunge wa viti maalum, lengo lao lilikuwa ni kumvuruga Maalim Seif aache kwenda Commonwealth na abaki kuihami CUF inayomong'onyolewa na KIKARAGOSI MTIIFU ambaye amekuwa akiihujumu CUF toka awali kwa kusema CUF haiwezi kuwa na nguvu Zenji mpaka iwe na nguvu BARA huku yeye akijitahidi ipate kiti kimoja cha ubunge kila uchaguzi!!

Sasa hivi wanaanza kuona dalili za CUF kubakia na Chama kisicho na wanachama wanaokiunga mkono bali.....
 
Wanasahau kwamba lipumba na sakaya walishindwa kabisa kuijenga CUF,hawana ushawishi popote pale Tanganyika

Pia wanasahau kwamba kura za Zanzibar zinafata maslahi ya zanzibar kama ilivyokuwa 2015 Maalim aliposhinda,chama kiitwe CUF,UMMA, NASA,kura za Zanzibar zinapigwa kwa ajenda sio jina la chama
 
HIVI NI Kwanini ".... kijani" wanamshabikia sana polo-pesa siku hizi?
Nasikia "zile" walizomuwekea wakati wa uchaguzi zimeisha na ruzuku karibu inakata. wanaomuunga mkono wale kina come-buyer lazima posho ikatwe ili wabaki upande wake... soon....
 
Haya ni maoni yangu

Lile zimwi la Tanganyika kuonekana "inaionea" Zanzibar sasa inapata sura mpya,ni wazi kwamba lipumba anatumika na Taasisi za Tanganyika ili kukandamiza Zanzibar

nasema Tanganyika kwa kuwa Taasisi za Tanganyika ndizo zinatumika kuikandamiza CUF kwa kuwa tu ina mizizi thabiti Zanzibar.

Taasisi zinazoonekana kutumika ni Ofisi ya Msajili wa Vyama ambayo tangu ianzishwe haijawahi kuongozwa na mzanzibari achilia mbali hata kuwa na Msaidizi wa msajili kutoka Zanzibar

Taasisi nyingine zinazotumika ni mahakama,mahakama kwa makusudi wameamua kuzichelewesha kwa makusudi kesi zinazohusu chama hicho japo mahakama ina majaji wengi na muda wa kutosha

Bunge la jamhuri ya muungano limeacha kazi ya kuisimamia serikali na kuwa mshirika wa serikali katika kuikandamiza Zanzibar,ikumbukwe spika na naibu wake wote ni watanganyika

Pia ofisi ya RITA ni taasisi ya Tanganyika isiyo na ushiriki wa Zanzibar lakini inataka kuamua mambo yanayoathiri taasisi zinazovuka chumbe

Hii hali inaibua hisia Kali za kitaifa na utaifa wa wazanzibar,wazanzibari wanaikumbuka Zanzibar yao,laiti wangekuwa huru wasingekuwa wananyanyasika hivi kwa makucha ya taasisi hizi

Kuna visiwa vidogo kama Comoro,wanaishi raha mustarehe hawajachomwa na kucha za nchi yeyote

Zanzibar imeanza kupata ustaarabu na kujitawala wakati Tanganyika ni mapori tu,hawajui lolote

Zanzibar imeanza kupokea wageni wa kimataifa miaka na miaka,na imejitawala muda mrefu

Zanzibar ilikuwa dubai kwa karne na karne,leo inapondwa pondwa na wazanzibari sasa inabidi waisimamie Zanzibar kabla Zanzibar haijawa dhoofu sana kuwatetea wazanzibari
Kwa hiyo kupokea wageni ndo ujanja? - Zanzibar mmezoea kujivunia vitu vya ajabu

Eti mgogoro wa CUF unazidisha hisia za nationalism kwa Wazanzibari, kwani hicho ni chama cha kizanzibari?

Jinga kabisa

Wanasahau kwamba lipumba na sakaya walishindwa kabisa kuijenga CUF,hawana ushawishi popote pale Tanganyika

Pia wanasahau kwamba kura za Zanzibar zinafata maslahi ya zanzibar kama ilivyokuwa 2015 Maalim aliposhinda,chama kiitwe CUF,UMMA, NASA,kura za Zanzibar zinapigwa kwa ajenda sio jina la chama
Hilo wanaotaka kukupigia kwenye keyboard hawalioni wala hawana muda wa kulifikiri kuna tsunami 2020 Zanzibar hizi sarakasi zinawapotezea muda.
Ninachokiona uchaguzi ujao zenji hata akiwekwa mbuzi na kile chama twawala upande wa pili mbuzi atashinda NAKUMBUKA KURA ZA MARUHANI!!!
 
Usaliti siku zote hauozi
Msaliti maalim sefu kwa mzee Aboud Jumbe
Usaliti wa maalim kwa Salim Ahmed Salim Leo anachuma alichokipanda mwenyewe ndani ya Zanzibar Maalim ni mnafiki na Allah atamdhalilisha tu.
 
Acheni kulia lia

Pambaneni na uzwazwa wenu wa kuchelewa kuziba nafasi ya Prof kwa Miezi 8 kazi ikawa kuzurura Ulaya Eti kutafuta Urais wa Znz
Gharama mnazotumia hamuoni haya? Mtu mmoja anaandika majina ya madiwani wanaojiuzulu na kuwasainisha... mbunge anafutwa asubuhi anaapishwa mchana!
Mlipaswa kuwa na aibu hata kidogo tu maana zikiwavuka hamsiriki tena "MIPANGO YA KUKURUPUKA" Mwisho wa siku mnapata majina "MATUMBILI... Ng'ombe..."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom