Tanganyika ISIJE ila Zanzibar IMEZWE!!

Tanganyika ISIJE ila Zanzibar IMEZWE!!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya.

Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.

Njia Rahisi ya kuidumisha Tanzania ni kuzuia kuzaliwa upya kwa Tanganyika na wakati huo huo kuhalalisha kumezwa kwa Zanzibar. Kuzuia kurudi kwa Tanganyika na kuhalalisha Kumezwa kwa Zanzibar si jambo linalowezekanika kufanywa kwa HIYARI, lakini ni muhimu likafanyika.

Mimi ni Mtanzania!!
 
Yes mawazo yaliyokomaa na yaliyojaa busara hayo.ama kweli umenena
 
Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya. Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.

Njia Rahisi ya kuidumisha Tanzania ni kuzuia kuzaliwa upya kwa Tanganyika na wakati huo huo kuhalalisha kumezwa kwa Zanzibar. Kuzuia kurudi kwa Tanganyika na kuhalalisha Kumezwa kwa Zanzibar si jambo linalowezekanika kufanywa kwa HIYARI, lakini ni muhimu likafanyika.

Mimi ni Mtanzania!!

Usiogope Mwanajamii Kabla ya Tanganyika haijajikwapua kuila ZANZIBAR kuna MLAFI anayepeperushwa na MWENYEZI MUNGU kwa jina la GLOBAL WARMING... Yeye anainyemelea ZANZIBAR kwa UDI na UVUNDA...

Nadhani Umetembelea Maeneo yenye VISIMA vya MAJI ZANZIBAR maji sasa ni ya CHUMVI unajua nani huyo anavamia? GLOBAL WARMING angalia Bandari ya ZANZIBAR Umeona wanataka either kuihamisha au kuijenga ndani zaidi sababu inamomonyoka sababu ardhi ina liwa na GLOBAL WARMING

Kwahiyo kama MIMI ni wewe ningemkumbatia TANGANYIKA angalau akupatie kiardhi cha kukimbilia kuliko kumsengenya
 
Kabla 1964 Tanganyika ilikuwepo,kumbuka muungano ulikuwa wa hiari na si amri! Usilete itikadi zako katika mambo ya msingi kama haya,hii nchi si mali ya ccm na hivyo haina mamlaka ya kuwaamulia aina ya muungano!
 
nngu007 sidhani kama ni busara kuachia Mustakabali wa nchi yetu mikononi mwa majaaliwa ya Mwenyezi mungu. Hao watakaotoka Zanzibar baada ya visiwa vyao kumezwa na Bahari wakija huku tutawapokea kama wakimbizi au wananchi wenzetu wa nchi moja taifa moja?

m4cjb unadhani CCM wanataka serikali moja? Unajua kwamba Option ya kwanza ya CHADEMA badala ya kuwa na serikali tatu ni serikali moja!? Fikiria kuwa na Federal Government yenye majimbo yanayojiendesha yenyewe huko si ndiko CHADEMA inakotaka kwenda? au umeandika M4C bila hata kujua hiyo M4C inasimamia nini!!??
 
Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya.

Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.

Njia Rahisi ya kuidumisha Tanzania ni kuzuia kuzaliwa upya kwa Tanganyika na wakati huo huo kuhalalisha kumezwa kwa Zanzibar. Kuzuia kurudi kwa Tanganyika na kuhalalisha Kumezwa kwa Zanzibar si jambo linalowezekanika kufanywa kwa HIYARI, lakini ni muhimu likafanyika.

Mimi ni Mtanzania!!

Mkuu kama hujuwi lazima ufananishe chungwa na nazi? Kama ni Mtanzania basi Tanzania ilishasema haitaki kuonewa wala kuonea, sasa hili la kumeza umelipata wapi?
Hebu tuambie lini wewe ulijuwa kuwa Zanzibar ni Tanzania?
 
nngu007 sidhani kama ni busara kuachia Mustakabali wa nchi yetu mikononi mwa majaaliwa ya Mwenyezi mungu. Hao watakaotoka Zanzibar baada ya visiwa vyao kumezwa na Bahari wakija huku tutawapokea kama wakimbizi au wananchi wenzetu wa nchi moja taifa moja?

m4cjb unadhani CCM wanataka serikali moja? Unajua kwamba Option ya kwanza ya CHADEMA badala ya kuwa na serikali tatu ni serikali moja!? Fikiria kuwa na Federal Government yenye majimbo yanayojiendesha yenyewe huko si ndiko CHADEMA inakotaka kwenda? au umeandika M4C bila hata kujua hiyo M4C inasimamia nini!!??

Acha kuudanganya umma, chadema haijawahi kuwa sera ya sera ya serikali moja hiyo ilikuwa ni sera ya ccm sidhani kama kuna chama kingine chochote chenye sera hiyo zaidi ya ccm. Toka kuasisiwa kwake chadema sera yake kuhusu muungano ni wa serikali tatu na bahati wameweza kuwashawishi watanzania wengi wamekubaliana nao na ndio maana Tume ya katiba ikaja na uanzhishwaji wa serikali tatu.
 
Usiogope Mwanajamii Kabla ya Tanganyika haijajikwapua kuila ZANZIBAR kuna MLAFI anayepeperushwa na MWENYEZI MUNGU kwa jina la GLOBAL WARMING... Yeye anainyemelea ZANZIBAR
kwa UDI na UVUNDA...
nngu007.

kwa UDI na UVUNDA... = UDI NA UVUMBA

Udi = Incense of aloe wood.

Uvumba = Incense.

Kwa Udi na Uvumba = By all means, by hooks and crooks.
 
usije zungumza maneno hayo ukiwa Zanzibar, ukikoswa kumwagiwa tindikali una bahati.
 
Usiogope Mwanajamii Kabla ya Tanganyika haijajikwapua kuila ZANZIBAR kuna MLAFI anayepeperushwa na MWENYEZI MUNGU kwa jina la GLOBAL WARMING... Yeye anainyemelea ZANZIBAR kwa UDI na UVUNDA...

Nadhani Umetembelea Maeneo yenye VISIMA vya MAJI ZANZIBAR maji sasa ni ya CHUMVI unajua nani huyo anavamia? GLOBAL WARMING angalia Bandari ya ZANZIBAR Umeona wanataka either kuihamisha au kuijenga ndani zaidi sababu inamomonyoka sababu ardhi ina liwa na GLOBAL WARMING

Kwahiyo kama MIMI ni wewe ningemkumbatia TANGANYIKA angalau akupatie kiardhi cha kukimbilia kuliko kumsengenya

Oh,,,, je, Tsunami, EarthQUAKEs, Kimbunga , nk..... tutakimbila wapi?
 
Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya.

Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.

Njia Rahisi ya kuidumisha Tanzania ni kuzuia kuzaliwa upya kwa Tanganyika na wakati huo huo kuhalalisha kumezwa kwa Zanzibar. Kuzuia kurudi kwa Tanganyika na kuhalalisha Kumezwa kwa Zanzibar si jambo linalowezekanika kufanywa kwa HIYARI, lakini ni muhimu likafanyika.

Mimi ni Mtanzania!!

Hata mimi Gwiji la siasa nimekubali kuwa umenena busara tupu. Chadema wanashadadia Muungano serikali 3 au kutokuwepo kwa Muungano kabisa.
 
Tanganyika lazima ije na Zanzibr ihasiwe. Bendera yetu ya Tanganyika ipo kwa Mch. Mtikila na kwa bahati mbaya siku hizi Njaa zimemzidi na amekuwa kama Joka la Mdimu,na Mtu pekee aliekuwa aipeperushe Bendera ya Tanganyika vizuri ni Dr Mvungi kwa bahati mbaya atunae tena. Kwa hiyo tutatafuta Mtu mwingine wa kuipeperusha Bendera yetu ya Tanganyika.
''YOUR WELCOME TANGANYIKA'
 
Ule mkataba waliopeana karume na mwl nyerere unaujua au ndio bendera fuata upepo na kanini umefichwa?
 
Tuache uwoga,kwangu jibu ni serikali moja tuu ambayo Znz inakua mkoa rasmi au muungano ufe Tanganyika ifufuke tena
 
Mtoto akilia wembe mpe wao wanawaza mafuta wakati ardhi hawana na hiyo global warming itawatafuna kweli kwa laana ya mwenyezi Mungu
 
Bila kumumunya maneno tunataka serikali moja ya Jamhuri ya Muungano ya Watu wa Tanzania. Ni serikali moja tu ndiyo suluhu ya matatizo ya muungano...wala hakuhitajiki vitisho vya "Global Warming"ingawa ni vya kweli.
 
Back
Top Bottom