Kisheria haruhusiwi kugombea kwa kuanza kampeni mapema kabla ya kutangazwa rasmi na tume yake ya uchaguzi. Ila nani anaweza kumshtaki mshtakiwa anayekuwa hakimu katika shauri husika??!! Na katiba yetu inasema rais hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote analofanya akiwa madarakani - inamlinda mkosaji!
Unaongea vitu vikubwa sana Baba Askofu, competency ya hawa watu iko chini sana wanawaza kutumia tu na kuiba ili kujenga familia zao na kushinda uchaguzi.
Siasa ni biashara kubwa Kwa Africa watu tayari wamepata mgodi wanachofanya ni kuuchimba kisawa kisawa pasipokufikiria wakati ujao wa wajukuu zao je hawatokuta mashino matupu ?