johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,614
Naiangalia Rwanda inavyochanja mbuga
Naiangalia Uganda iliyoathiriwa na Vita inavyokaribia kutupita kiuchumi
Yaani Tanzania wanyonge wetu ni Kenya na Burundi tu
Ile Zanzibar ya Abeid na Abdul Jumbe ingebakia peke yake sasa hivi ingekuwa kama Qatar
Tanganyika ni UCHAWA tu 😂