CHUKUWACHAKOMAPEMA ni hatari kwa afya yako MDANGANYIKA!Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo.
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi Ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa Mbezi Luois. Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina.
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART. Shule haijajulikana vema kauziwa nani. Kuna kila dalili eneo lote la Ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza. TBS ya zamani pengine iko mbioni. Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona. Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tu. Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema.
Hawa jamaa acha wauze tuBaada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo.
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi Ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa Mbezi Luois. Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina.
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART. Shule haijajulikana vema kauziwa nani. Kuna kila dalili eneo lote la Ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza. TBS ya zamani pengine iko mbioni. Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona. Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tu. Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema.
Acha uzushi, upotoshaji na uwongo km mlivyozoea nyie nyumbu. Mmeshindwa siasa mmehamia kwenye uzushi na upotoshaji. Shame on you! Eti shule imeuzwa bila ht aibu? Km serikali imebadilisha matumizi ya ardhi yake nyie nyumbu mwawashwa na nini.
Na huko watakamuliwa upepo japo ni shule za ummaWazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Hii nchi hii,viongozi ni kama masela wa ghetoShule ya Msingi UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA UBUNGO PLAZA IMEUZWA.
Wazazi wameambiwa Wakachukue watoto wao wakawatafutie Shule.
Shule ya SERIKALI inauzwa kama Peremende.
Shule iliyojengwa kwa KODI za wananchi kuna watu wachache wamekaa huko juu wameamua WAUZE.
Maelfu ya WATANZANIA yanaenda kuumia kwa kukosa huduma ya Elimu kwaajili ya Maamuzi ya VIGOGO wachache.
Hapa ndio tulipofikishwa TAIFA na CHUKUA CHAKO MAPEMA (CCM).
Kwa hiyo unaona hiyo ni siasa ya maji taka na video umewekewa,kulaninaBroo achana na siasa za majitaka
Kwahiyo hiyo video imetengenezwa? Mwana tumia hata akili Za kudinyia zikusaidie kung’amuaAcha uzushi, upotoshaji na uwongo km mlivyozoea nyie nyumbu. Mmeshindwa siasa mmehamia kwenye uzushi na upotoshaji. Shame on you! Eti shule imeuzwa bila ht aibu? Km serikali imebadilisha matumizi ya ardhi yake nyie nyumbu mwawashwa na nini.
Umesoma post ambayo nmereply kwanza au umekurupuka?Kwa hiyo unaona hiyo ni siasa ya maji taka na video umewekewa,kulanina
Halafu kwa pembeni kuna madarasa ya ghorofa kadhaa yalishaanza kujengwaBaada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Si kweli DART. sio serikali ila kuna mmiliki alijificha kwenye mgongo wa serikaliDART ni serikali mkuu
Shule ya Msingi Mivinjeni ishauzwa kitamboBaada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita kiliuzwa kituo cha mabasi madogo ya abria maarufu kama simu 2000.. Tulipiga kelele za hapa na pale likapita hilo.
Asili ya haya manunuzi ni kuuzwa kwa iliyokuwa stand kuu ya mabasi Ubungo ambayo ilikuja kuhamishiwa Mbezi Luois. Stand hiyo ya zamani sasa panajengwa kituo/soko kubwa la bidhaa za kichina.
Stand ya simu 2000 wameuziwa watu wa DART. Shule haijajulikana vema kauziwa nani. Kuna kila dalili eneo lote la Ubungo lenye huduma za Jamii litamegwa vipande vipande mpaka watalimaliza. TBS ya zamani pengine iko mbioni. Soko la simu 2000 nalo sidhani kama litapona. Mahamaka ya mafisadi je.nknk
Huko tuendako hata wananchi watafurushwa ni swala la muda tu. Baada ya kumaliza Ubungo kituo kinachofuata most likely ni urafiki.. Muda utasema.
Pia Soma : DC Ubungo: Hakuna Shule inauzwa Ubungo