Tanganyika Government

hivi kwa nini tusikabidhi nchi kwa waingereza jamani:smile:
 
Mbuzi Mzee naheshimu sana mchango wako hapa JF haswa kwenye jukwaa la picha
 
Last edited by a moderator:
Reactions: awp
Nakubaliana na wewe.
Wajerumani wameijenga sana hii nchi ... ila wakatili.

hao ambap sio walatili wameifanyia nini hii nchi

wametengeneza ARVs feki na kusababisha vifo
wamekula fedha za EPA na kuharibu uchumi wa nchi hii
wameuza migodi yetu bure na kuwaacha watanzania wawe watumwa wa nchi yao
wametengeneza serikali isiyowajibika na kuwalipa mishahara duni watumishi wake
wanalaza wakina mama wajawazito na waliojifungua chini kwenye hospitali iliyojengwa na wakatili
wanawakalisha watoto wetu chini kwenye shule zenye mazingira mabovu
wamechukua shule zote zilizojengwa na wakatili na kuharibu mazingira yake
wameua reli na bandari
hawajawahi kutengeneza gereza hata moja ingawa wanafunga watu wengi zaidi tena wasio na kwenye magereza yaliyotengenezwa na wakatili



mpaka sasa hivi sioi hao ambao sioni hao ambao sio wakatili wametengeneza mazingira gani kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wake. mwananchi hataki donations and charity anataka mazingira mazuri ambayo yatamwezesha kufanikiwa atakapofanya juhudi.

I love Tanzania but I LOATH its management.
 
safi sana old goat,michango yako inatupa hamasa ya kupigania nchi yetu.
 
It was just an observation... I didnt state a fact or an opinion .
Siyo kila kitu ni arguments, lets enjoy the photos.
 
mbusi muzee heshima yako, asante kwa pics mazuri
 
Mbuzi Mzee, katika hayo makabrasha, hujapata Ramani ya Tanganyika yenye mpaka na Malawi, au umesahau kuna Membe ameomba Data zote muhimu
 
It was just an observation... I didnt state a fact or an opinion .
Siyo kila kitu ni arguments, lets enjoy the photos.

usijali mkuu.
nina hasira sana na management ya hii

kuna kila dalili za kurudi kwenye zama za Tanganyika ila i think tutakua na visiwa viwili vya Mafia na Pemba bila Unguja.
huo ni utabiri tu asininukuu mtu.
 
usijali mkuu.
nina hasira sana na management ya hii

kuna kila dalili za kurudi kwenye zama za Tanganyika ila i think tutakua na visiwa viwili vya Mafia na Pemba bila Unguja.
huo ni utabiri tu asininukuu mtu.
Kwanini umesema hivyo?
Kama tutakuwa na visiwa viwili nadhani ni Mafia na Unguja
 
Tanganyika haitakua na kisiwa hata kimoja! mafia itakua inchi, Unguja inchi, pemba inchi, sijui kigamboni na ukerewe !!!!!
 
On 14 December 1961, Tanganyika became a member of the United Nations(UN) and two years later, in 1963 it merged with the island of Zanzibar. Following the historical merger between the two countries (Tanganyika and Zanzibar) their membership status at the UN changed to a single member state on 26 April 1964. Subsequently, on 1 December 1964 the two countries became known as the United Republic of Tanzania. Julius Kambarage Nyerere became the first President of the United Republic of Tanzania and Sheikh Abeid Karume became Vice President.

http://www.sahistory.org.za/dated-event/tanganyika-becomes-member-un
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…