kuwa na maisha magumu haimfanyi kuwa jambazi alijitakia mwenyewe wangapi wanaishi maisha maguma zaidi na hawaibi?Timoo mwanafunzi wangu 2005 mwongozo Primary. He was so bright and brave. Mazingira magumu aliyokulia yalimsababisha kuacha shule form three na kujiajiri kwenye bodaboda.
RIP dogo.
Hao sio wananchi wenye hasira bali ni wananchi wenye njaa kali........wangekuwa na hasira kali wangezionyesha kwa wahusika wa ESCROW...........ambao wamewafanya kuwa na maisha duni.....................
timoo mwanafunzi wangu 2005 mwongozo primary. He was so bright and brave. Mazingira magumu aliyokulia yalimsababisha kuacha shule form three na kujiajiri kwenye bodaboda.
Rip dogo.
Mullion 100 wanauwawa wa billion mia tatu tunatesa nao mtaani tz nchi ya ajabu sana
Ndio tatizo lenu bavichwa, kila kitu mnafananisha na siasa uchwara.
Ndio tatizo lenu bavichwa, kila kitu mnafananisha na siasa uchwara.
Tupia picha mkuu
acha UNGESE wako mpuuzi mkubwa! unajua siasa inatupotezea fedha ngapi wewe harlot?
Hao sio wananchi wenye hasira bali ni wananchi wenye njaa kali........wangekuwa na hasira kali wangezionyesha kwa wahusika wa ESCROW...........ambao wamewafanya kuwa na maisha duni.....................
Mkuu sehemu kama hizi ndio za kuonyesha ukomavu wako wa kisiasa kwa kuwa siasa si uadui...ingawa CCM wanatulazimisha tuwaone maadui kwa madawa wanayotufanyia......nadhani ingekuwa ni busara ya hali ya juu kama mngebishana kwa hoja....huenda angekuelewa na pengine angerudisha kadi ya CCM.....CALM DOWN KAMANDA........acha UNGESE wako mpuuzi mkubwa! unajua siasa inatupotezea fedha ngapi wewe harlot?