Tanga: Watu wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameuawa na Wananchi wenye hasira kali

Hivi shida iko wapi? Milioni 100 na Escrow ni Milioni ngapi .. Linganisha na Hasira Kali ya wananchi ..Na hatua wanazochukua ...Dunia Hii Haka ....
 
Wauawe tu, maana tumechoka kuibiwa na serikali ya ccm. Tuibiwe na ccm halafu tuibiwe na majambazi? This's too much.

Serikali Yenyewe Ndio Jambazi Mkubwa,si Ajabu Hata Hao Waliokufa Walitumwa!
 
Mullion 100 wanauwawa wa billion mia tatu tunatesa nao mtaani tz nchi ya ajabu sana

Tatizo mafisadi wanalindwa na nchi nzima lakini nina uhakika wa zaidi ya 50% hao mafisadi wakijichanganya mazingira ambayo hawapati huo ulinzi tungekuwa tushawapa jina lile jingine kitambo
 
Back
Top Bottom