Tanga waikatae CCM?

Kwa Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
 
Kwa
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
Umesema ukweli mkubwa sanaaa TANGA imejaa watu wapumbavu sanaaa na Tanga ukiwa huna hata ubongo unaweza kuwaongoza wakishashiba mihogo ni vibarazani kimnyaaa,

Mkoa badala ya kuendelea unazidi kuchakaa vibaya mnoo ,

Bara bara za mjini Tanga ni kinyaa hakuna Meya? Hakuna mbunge? Hakuna madiwani? Hiyo Pangani road aisee aisee kama mahandani ya m23 ,

Hakuna wa kuhoji mji umedumaa unanuka shida ,wenyewe wamelala tu hawajali
 
Kule bumbuli kuwa tu mwana ccm ni sifa kuu.
Mkiti wa ccm mkoa wa Tanga ni mganga wa raisi samia
 
Ni kawaidi, hata kwenye mkoa wetu wa Njombe hakuna mradi hata mmoja.
Mtu anakuja kijijini kwetu mashewa halafu mgombea aniambie serikali imejenga reli ya SGR nitampuuza hapohapo maana huku kwetu hiyo reli itamsaidia nani kwenda wapi kufanya nini. Nataka kusia hapa mashwea tumeleta maji, tumejenga VETA, nk
 
Mkoa mzima ni CCM, angalia maendeleo yao sasa. Lushoto - Mlalo vumbi tupu na barabara ipo tangu mkoloni. Kutoka Kwedikwazu-Mzundu-kwamwenda-kwamsundi-kwankonje- kimbindu hadi Magamba ni vumbi tupu (barabara ya kiangazi TU). Kwachaga -kwankoje -kwamkunga-kwamsangazi hadi kwamkono vumbi TU. Maji hakuna wilaya yote. Elimu yao ni kama hakuna.
 
Unajua maana ya vicious cycle wewe? Kama idadi kubwa ya watoto wanaosoma shule hizi za kata wanafeli inasababidha kitu inaitwa negative feedback. Watoto na wazazi wanaona ni kupoteza hela zao kwa watoto wanaofeli for almost 89%. Hakuna walimu, hakuna maabara, hakuna umeme, hakuna chakula, hakuna bweni, hakuna usafiri na hakuna library Wala maji, hizo ni shule gani? Hata mtoto wa diwani hasomi shule hizi sembuse mkuu wa wilaya?
 
Kwa
Ninayojionea Tanga aisee huu mkoa Una watu wapumbavu na wajinga sijawahi kuona! Wapumbavu na wasiletewe tu kwa upumbavu wao wa kuikumbatia Ccm
Mzee makamba, Mzee shekifu, Mzee Mdsomo, Mzee kigoda, Mzee kigoda, Mwapachu, kitandula nk wamewahadaa watanga wakawa mazuzu. Handeni hakuna hata tone Moja la maji lakini wanaimba hiyenahiyena miaka yote tangu Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…