Tanga to singida through handeni


Moja ya sababu nilizowahi kusikia yawezekana ilichukuliwa kwenye maandiko ya aina hiiπŸ‘‡
 

Attachments

Inapitia kiteto
 
Mawazo yako ya nafaa kwa zile first world countries ndo watakao kuelewa respect ya wanyama ni ipi na umuhimu wake ni upi, sio hapa kwetu tunako rusha mawe hata kwa mbwa anae tembea zake.......idea nzuri but to the wrong audience
 
Kipande cha handeni - Turiani hakijakamilika ..pia njia inayotokea uelekeo wa kiteto to kondoa kama sio mzoefu na gari yako ni ya chini (sedan au hatchback sio SUV au pick up ) Bora upite Moshi Arusha babati .. unaweza kulenga saving ya mafuta ukaingia gharama ya service afterwards.
 
Common mkuu real?,muda mwingine ni vema kutulia na kujifunza,sio lazima kila mada uchangae,kama hujui T1 ni nini pls jisalimishe pale immigrations kurasini na vitambulisho vyako vyote
Motivational speakers hua hamkosekani.
 
Sio barabara nzuri sana,Handeni - Kondoa via Kiberashi,Kijungu,Kibaya(kiteto) 282Km
Kondoa - Singida via Isijaa,Mung'aa,Round About 159km
NOTE: Barabara vumbi tupu na rasta,ukipata breakdown ni msala
 
Mawazo yako ya nafaa kwa zile first world countries ndo watakao kuelewa respect ya wanyama ni ipi na umuhimu wake ni upi, sio hapa kwetu tunako rusha mawe hata kwa mbwa anae tembea zake.......idea nzuri but to the wrong audience
But hii kitu mkuu nimeiona hapo Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό, from Nata to Kasane almost 300km ni eneo la mbuga ya wanyama hili eneo Lina wanyama wengi hasa Tembo,nyati na hakuna tuta hata moja, barabara ni safi na pia kuna air strips kwa vindege vidogo kutua na kuruka, visibility ni safi mno maana both sides of the main road, (A3) limekuwa clean out ,20m ,sisi nasi tunaweza fanya hivi kwa zile 50kms za mikumi national park
 
Ni vizri tunaweza kufanya hivo ila sio kipaumbele cha chama tawala
 
Iyo barabara wanaendesha wazoefu wa road la sivyo utaiacha gari porini

Hacha kumtisha mkuu,hiyo bara bara labda kama itakuwa imeharibika mwezi huu,niliwai pita unatokea tanga /Handeni unaenda kiteto unapita mahali hakuna daraja unakuja tokezea mitaa ya Moro chap to Dom to singida.
 
nimepita hiyo jana kutoka mkata to handen kibaoni theni mziha nikatokea turiani hapo kati kuna njia panda panaitwa kange ndio pataamua unataka kutokea handen au korogwe
Njia niliyopita ni ya handen to turiani kuja dom ipo poa tu gari yoyote inatembea vizur bila shida
lakin kwa hesabu zangu naona bora ningepita ya handen chalinze to dodoma
 
Sio barabara nzuri sana,Handeni - Kondoa via Kiberashi,Kijungu,Kibaya(kiteto) 282Km
Kondoa - Singida via Isijaa,Mung'aa,Round About 159km
NOTE: Barabara vumbi tupu na rasta,ukipata breakdown ni msala
Shukran mkuu,,

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Na mwigulu nilimsikia anaiongelea chalinze tobMor express road.sijui ndio ipo wapi?
Ila kama imetengenezwa kwa nini iwekwe kwenye bajeti hii ya mwigulu?
Na kama inazinduliwanitakuwa fresh maana dar moro sasa hivi ni kama treni hazifanyi kazi,ni maroli asubuhi mchana usiku.
 
Pita ila ujue ni barabara ya vumbi mwanzo Mwisho,hakikisha gari yako iko salama..

Ni moja ya barabara za Vipaombele kwa kujengwa maana ni muhimu kwa a ajili ya bandari ya Tanga.
 
Handeni-Kilindi-Kibaya-Kongwa Ranch-Dodoma-Manyoni-Singida! Mafuta utakayotumia kwenye barabara ya vumbi ni sawa na utakayotumia kwenye njia ya Handeni-Korogwe-Mombo-Same-Mwanga-Himo-Moshi-Arusha-Babati-Katesh-Singida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…