Tanga stone (slate stone)

Tanga stone (slate stone)

mawe craft

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
24
Reaction score
9
Ninauza mawe ya Tanga stone yaliyo katwa Tayari. Square meter moja nauza ni kati ya Tsh 35,000 na Tsh 60,000 inategemea na aina ya mkato (cutting style)
Wasiliana nami kwa namba hii 0758484166/ 0766111711
 
yako polished? weka picha mkuu

Hayajawa polished, kwasababu kwanza kuna polish tofauti tofauti hivyo kufanya mteja awe na choice tofauti,zipo polish ambazo ukipaka zitabadilisha uhalisia wa jiwe,zipo polish ambazo Zita ya ng'aza mawe lakini yakabaki kuwa na muonekano halisi usio na shaka. haya yote ni matakwa ya Wateja ndio maana hayawi polished Nani vizuri zaidi kama yakiwa polished site,baada ya kujengewa tayari hapo hupendeza zaidi.
 
Naomba nikuulize mkuu nini kazi ya hayo mawe?
 
Mkuu haya ni mawe halisi,muundo wake niwa slate na hujulikana kama slate stones na nimaarufu kama Tanga stones kwa sababu hupatikana zaidi mkoa wa Tanga. Kwa kifupi ni mawe ambayo hutumika kwa urembo wa nyumba na maofisi,yanapendeza sana kwa finishing,unaweza kutumia chini badala ya pavers blocks,unaweza kutumia kwenye kuta za fensi vile vile unaweza kutumia kama tiles za jikoni,sebuleni,bafuni n.k kulingana na matakwa yako
 
Ahsante nimeshayafahamu.
Tuombeane kheri.
 
Hayajawa polished, kwasababu kwanza kuna polish tofauti tofauti hivyo kufanya mteja awe na choice tofauti,zipo polish ambazo ukipaka zitabadilisha uhalisia wa jiwe,zipo polish ambazo Zita ya ng'aza mawe lakini yakabaki kuwa na muonekano halisi usio na shaka. haya yote ni matakwa ya Wateja ndio maana hayawi polished Nani vizuri zaidi kama yakiwa polished site,baada ya kujengewa tayari hapo hupendeza zaidi.

polishing niliyokuwa nasemea siyo ya kupaka mkuu, ya kugrind.
 
Nimekupata mkuu, ukitaka tuyagrind (kuyapiga msasa) ili yawe na smooth surface tunafanya pia, ukitupa oder yako na maelekekezo uyatakayo tunakufanyia tu
 
Mawe crafting inawakaribisha wote kwenye offer ya Christimas na mwaka mpya
 
Back
Top Bottom