Habari nilizopata hata tanga ni kuwa CUF wamevuna viti 9 kutoka 0 vilivyokuwepo mwaka 2005.
Kwa maana hiyo halmashauri nayo imeshikika na wapinzani. ila Ubunge CCM ndo kapita. Tanga hakukuwa na upinzani sana maana watu bado hawajazinduka

Correction! Kata za udiwani ziko 24...CCM wamechukua kata 15 na CUF kata 9. Mwaka 2005 CUF walipata kata 4..hivyo wame gain kwa kata 5 zaidi. Ubunge na Uraisi CCM pia ni kidedea Tanga mjini.