Tanga nako CUF wavuna madiwani kibao kushikilia Halmashauri ya Jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga nako CUF wavuna madiwani kibao kushikilia Halmashauri ya Jiji

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Nov 1, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Habari nilizopata hata tanga ni kuwa CUF wamevuna viti 9 kutoka 0 vilivyokuwepo mwaka 2005.
  Kwa maana hiyo halmashauri nayo imeshikika na wapinzani. ila Ubunge CCM ndo kapita. Tanga hakukuwa na upinzani sana maana watu bado hawajazinduka
   
 2. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Correction! Kata za udiwani ziko 24...CCM wamechukua kata 15 na CUF kata 9. Mwaka 2005 CUF walipata kata 4..hivyo wame gain kwa kata 5 zaidi. Ubunge na Uraisi CCM pia ni kidedea Tanga mjini.
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa update mkuu, hayo ni maendeleo pia
   
Loading...