Tanga; Mkoa uliokufa

Acheni hizo bhana huu mji upo nyuma kimaendeleo mzunguko wa pesa tanga ni mdogo biashara za kukopeshana zimejaa Tanga.. Tanga bado sana mpaka sasa mtu unanua Kitumbua Tsh.50, kama kwa hali hii mnatetea hoja kulinganisha na tanga ya miaka ya 90 kuwa mkoa huu umeendelea. Kitumbua Tsh.50 kweli? hata hayo mapenzi yenyewe siku hizi hakuna ni wizi mtupu jina tu linaubeba huu mkoa lakini Una watoto wazuri na wanahamasisha kimuonekano watoto Mong'onyooo...
 
Wap kitumbua tsh 50/- au
Unataka kuongopea watu inaonekana umeondoka tanga mda mrefu..
Au unataka maforoni
 
Acha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....

Mkuu
Naona unatumia nguvu nyingi mno.
Tanga ndio mji pekee uliokuwa na viwanda vingi kuliko mji wowote Tz,
Lakin je wanaiua Tanga ni WanaTanga?
Au ni sera mboovu zilizooza za UTAWALA WA CCM?
Strategically Tanga ilipaswa iwe na mapato makubwa,kwani inapakana na Nchi jiran,Ina Bandari n.k,lakin sera mbovu zimeifikisha pale ilipo.
Sasa hv mnapambana kuijenga kanda,kisha mnatarajia miujiza.
Relax siku akipatikana Raisi kutoka kaskazini itakuwa
 
Acha kutetea upuuzii..mkoa wenu unazid kudidimia wakat kuna mikoa Kama...... Iringa.. singida... morogoro....NK.... wadigo.. wabondei... Tanga sio jiji CCM wamewadanganya Sana Kimapato Tanga mnazidiwa na Mafinga....
Ripoti ya mapato iliyotoka mwaka huu umeiona, tanga imekusanya bil 11.84 hiyo iringa unayoisifia imekusanya bil4.2 mafinga bil 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…