wenyeji ni wavivu mno
Hivi ilikuwaje Tanga ikapewa hadhi ya Jiji..!!?
Weka picha za 99 na za 2017
Badala yake, Dodoma ni mkoa unaokuja kwa kasi sana... There is a massive, massive govt support for the region...
Mkoa wa Iringa ni mkoa wenye neema na watu wa kule ni watafutaji...Mkuu mkoa wa Iringa unakua kwa kas Sana kuzid Hata jiji la tanga
Badala yake, Dodoma ni mkoa unaokuja kwa kasi sana... There is a massive, massive govt support for the region...
Weka picha za 99 na za 2017
Hebu tuachie tanga yetu kumekucha hivyoWana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Hebu tuachie tanga yetu kumekucha hivyo