Tanga... Kunani pale.?

Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.
Hata Mimi niliwahi kusoma nao chuo Wana vijitabia vya kukera sana.
Wana tabia za kuchimbana,kufuatiliana kwenye vitu vidogo vidogo na majungu.
 
Fuatilia hao unaosema wamefanya vizuri kama ni watoto wa Tanga.Mambo yenu yanajulikana bana.
 
wasambaa na wazigua sawa ni wapambanaji, wadigo na wabondei walewale tu baba moja mama moja..
Wadigo ni balaaa hao hawana mpinzani , wabondei afadhali nimeishi nao wanapiga kazi , halafu shule wamepiga kidogo
 
Ila hao sio wenyeji wa tanga
 
Hata Mimi niliwahi kusoma nao chuo Wana vijitabia vya kukera sana.
Wana tabia za kuchimbana,kufuatiliana kwenye vitu vidogo vidogo na majungu.
Hivi vitu vipo kila siku ata wachaga na wahaya kila siku wanasemwa humu kuwa ni wabinafsi , kwahiyo shutuma kwa binadamu ni kawaida
 
Waulizeni Viongozi wenu, Tanga ilikuwa best kuliko hata Dar, nini shida?
Kwani wenyeji wa Tanga ile wamehama?
Sasa kabla ya kujionesha kuwa una Ubongo kisoda walau tafakari.
Tanga ilikuwa ni industrial region nini shida mzee?.
Waulizeni wazee wenu hasa BM.

Na sasa mnataka kuimaliza Kaskazini, lakin soon mtaondoka
Na hiyo artificial city Chattle soon litakuwa boma la ng'ombe
 
Hivi vitu vipo kila siku ata wachaga na wahaya kila siku wanasemwa humu kuwa ni wabinafsi , kwahiyo shutuma kwa binadamu ni kawaida
Afadhali ya wahaya na wachaga wanawaza vitu vikubwa na ubinafsi wao unawasaidia kutoboa maisha.
Lakini hawa ndugu zangu Mimi wa pwani wanapoteza muda kumfuatilia mtu halaf bado wanaendelea kuwa maskini,ni kwa nini wasiutumie huo muda kuutokomeza umaskini?
 
Hizi ni tuhuma tu labda nikuulize swali lini uliwai sikia Tanga kuna njaa watu wanaomba msaada ? katika mikoa masikini mitano ya mwisho Tanga haipo kabisa sasa wewe unazungumzia Tanga ipi ?
 
Hizi ni tuhuma tu labda nikuulize swali lini uliwai sikia Tanga kuna njaa watu wanaomba msaada ? katika mikoa masikini mitano ya mwisho Tanga haipo kabisa sasa wewe unazungumzia Tanga ipi ?
Naongelea tanga ya mamwinyi ambao hawapendi kujishughulisha.
 
Hata Mimi niliwahi kusoma nao chuo Wana vijitabia vya kukera sana.
Wana tabia za kuchimbana,kufuatiliana kwenye vitu vidogo vidogo na majungu.
Kuna Mmoja nilifanya nae kazi, yaani ofisi nzima walifanya kampeni mpaka Akahamishwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…