Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,471 Reaction score 17,976 Mar 22, 2012 #1 Wakubwa mpaka muda huu naingia hapa jamvin ifakara tuna ck tano baadhi ya maeneo umeme hamna transfoma ambalo ni kubwa kulko yote limeungua na limesababisha mitaa kama jongo.v /sitini a, v/sitin b kukosa umeme na kwingineko.
Wakubwa mpaka muda huu naingia hapa jamvin ifakara tuna ck tano baadhi ya maeneo umeme hamna transfoma ambalo ni kubwa kulko yote limeungua na limesababisha mitaa kama jongo.v /sitini a, v/sitin b kukosa umeme na kwingineko.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 22, 2012 #2 mmeumia!
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,471 Reaction score 17,976 Mar 22, 2012 Thread starter #3 BADILI TABIA said: mmeumia! Click to expand... hatujaumia kaka walituambia mpaka jumamos watakuwa tayar,na kama itashindikana tutafanya taratibu za maandamano
BADILI TABIA said: mmeumia! Click to expand... hatujaumia kaka walituambia mpaka jumamos watakuwa tayar,na kama itashindikana tutafanya taratibu za maandamano
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 23, 2012 #4 mmh tanesco kwa ahadi nawakubali,wenzenu huku kulikuwa na tatizo tumeishiwa kupewa namba elfu tano mia ngapi sijui,mwezi mzima sasa na hawajaja!
mmh tanesco kwa ahadi nawakubali,wenzenu huku kulikuwa na tatizo tumeishiwa kupewa namba elfu tano mia ngapi sijui,mwezi mzima sasa na hawajaja!