Tanesko Mpoo?!

Tanzania ninayoifahamu hata kama tukibadilishana Uingereza ihamie bongo na bongo ihamie uingereza tusitegemee jipya tutakalofanya huko. Ila waingereza wataibadili bongo within short time amini usiamini
 
Tatizo si Tanesco, tatizo ni uongozi mzima wa Taifa. Maneno mengi bila ya vitendo. Wanaangalia matumbo yao basi. Hata watalaam wa Vietnam na China wanatushanga kwa nini tu maskini wa kutupwa, wakati maliasli ni nyingi mno za kutufanya tuendelee. Sitashangaa hata kidogo ukichukua wilaya moja ukawapa Wajapan ikawa nchi yao, Tanzania iliyobaki itaenda kuomba misaada eneo hilo baada ya muda mfupi. JK aliwahi kusema hajui kwa nini nchi ni maskini nasi tukamapa uongozi. Unatarajia nini?
 
Tanesco wapo ila hataona hili

Ni kwasababu Macho yao yamefungwa na wao si watanzania hivyo kero ya Tatizo la Umeme kwao haipo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…