Ernie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2010 Posts 217 Reaction score 29 Jul 12, 2011 #1 Tangazo tangazo Tangazo! Ndugu Watanzania tunasikitika kutangaza kwamba maji yaliyobaki mtera ni ya kuchambia tu. sasa muamue kupata umeme au mbaki na mavi matakoni au mchambe mkose umeme kabisa. Chagua 1 ukiwa kama Mtanzania halisi
Tangazo tangazo Tangazo! Ndugu Watanzania tunasikitika kutangaza kwamba maji yaliyobaki mtera ni ya kuchambia tu. sasa muamue kupata umeme au mbaki na mavi matakoni au mchambe mkose umeme kabisa. Chagua 1 ukiwa kama Mtanzania halisi
B Babu mchumi Member Joined Jul 5, 2011 Posts 62 Reaction score 11 Jul 13, 2011 #2 Teh teh teh teh,umeumiza mbavu za wa2 hapa!ts so funy