teh teh teh,
nilikua naangalia tarifa ya habari sijui ilikuwa inahusu nini, nikasikia
Tanesco wanasema Sambaza Umeme sio Ukimwi.
Sasa najiuliza umeme gan wanaosambaza wakati guest-house zote zipo kwenye giza now watu wanasambaziana ukimwi: yan wameweka kauli mbiu ya kinyumenyume