Tanesco yatimiza agizo la Magufuli kwa Bakhressa

DOFFA

DOFFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
425
Likes
227
Points
60
DOFFA

DOFFA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
425 227 60
upload_2016-12-4_14-59-29-jpeg.442625
upload_2016-12-4_14-59-42-png.442626SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetimiza agizo la Rais John Magufuli la kukipatia umeme kiwanda cha kusindika matunda cha Azam Fruits Processing Plant, mali ya mfanyabishara, Said Salim Bakhresa kabla ya muda wa miezi miwili waliyopewa kukamilisha kazi hiyo.

Rais Magufuli alitoa agizo hilo Oktoba 6, mwaka huu alipokuwa anazindua kiwanda hicho kilichopo Mwandege, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kufuatia kilio kilichotolewa na uongozi wa kiwanda hicho kuiomba serikali iingilie kati ili kupata umeme wa uhakika kwa ajili ya uzalishaji bidhaa kiwandani hapo.

“Tayari tumetimiza agizo la Rais la kukipatia umeme kiwanda cha Bakhresa, Mkuranga Novemba 30, mwaka huu kwa kufikisha umeme kiwandani hapo,” Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Felchesmi Mramba alitoa maelezo hayo jana jijini Dar es Salaam.

Mramba alikuwa anatoa majumuisho kwa wahariri wa vyombo vya habari baada ya ziara ya kutembelea miradi ya ukarabati wa miundombinu ya usambazaji umeme jijini Dar es Salaam.

Alifafanua umeme umefikishwa kiwandani hapo na kilichobaki ni upande wa kiwanda chenyewe ambao unasubiri baadhi ya vifaa kutoka nje ili waweze kuingiza umeme ndani ya kiwanda.

Alisema Tanesco inajenga njia tatu za umeme kuelekea Mkuranga na mbili kati hizo ni kwa ajili ya viwanda vipya wilayani humo na moja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Katika juhudi za kuboresha miundombinu ya Tanesco ili kukidhi adhma ya serikali ya awamu ya tano ya kuwa na uchumi wa viwanda, shirika lake linatekeleza miradi ya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme kwa nchi nzima itakayogharimu Sh zaidi ya trilioni 5.4.

Alifafanua miradi hiyo ni pamoja na uzalishaji, usafirishaji na vituo vya kusambazia umeme ambavyo mifumo ya zamani ya analogia inabadilishwa na kuwekwa mifumo mipya ya ya kisasa ya dijitali yenye ufanisi mzuri zaidi.

Vituo vya usambazaji umeme vya Dar es Salaam vilivyotembelewa vikiwa bado vinaendelea na ukarabati wa mifumo ya zamani na kuweka ya kisasa ni pamoja na Muhimbili, City Center, Sokoine na Kituo cha Ilala.
 
L

LuSilk

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
784
Likes
499
Points
80
L

LuSilk

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
784 499 80
View attachment 442625 View attachment 442626

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetimiza agizo la Rais John Magufuli la kukipatia umeme kiwanda cha kusindika matunda cha Azam Fruits Processing Plant, mali ya mfanyabishara, Said Salim Bakhresa kabla ya muda wa miezi miwili waliyopewa kukamilisha kazi hiyo.

Rais Magufuli alitoa agizo hilo Oktoba 6, mwaka huu alipokuwa anazindua kiwanda hicho kilichopo Mwandege, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kufuatia kilio kilichotolewa na uongozi wa kiwanda hicho kuiomba serikali iingilie kati ili kupata umeme wa uhakika kwa ajili ya uzalishaji bidhaa kiwandani hapo.

“Tayari tumetimiza agizo la Rais la kukipatia umeme kiwanda cha Bakhresa, Mkuranga Novemba 30, mwaka huu kwa kufikisha umeme kiwandani hapo,” Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Felchesmi Mramba alitoa maelezo hayo jana jijini Dar es Salaam.

Mramba alikuwa anatoa majumuisho kwa wahariri wa vyombo vya habari baada ya ziara ya kutembelea miradi ya ukarabati wa miundombinu ya usambazaji umeme jijini Dar es Salaam.

Alifafanua umeme umefikishwa kiwandani hapo na kilichobaki ni upande wa kiwanda chenyewe ambao unasubiri baadhi ya vifaa kutoka nje ili waweze kuingiza umeme ndani ya kiwanda.

Alisema Tanesco inajenga njia tatu za umeme kuelekea Mkuranga na mbili kati hizo ni kwa ajili ya viwanda vipya wilayani humo na moja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Katika juhudi za kuboresha miundombinu ya Tanesco ili kukidhi adhma ya serikali ya awamu ya tano ya kuwa na uchumi wa viwanda, shirika lake linatekeleza miradi ya ukarabati wa miundo mbinu ya umeme kwa nchi nzima itakayogharimu Sh zaidi ya trilioni 5.4.

Alifafanua miradi hiyo ni pamoja na uzalishaji, usafirishaji na vituo vya kusambazia umeme ambavyo mifumo ya zamani ya analogia inabadilishwa na kuwekwa mifumo mipya ya ya kisasa ya dijitali yenye ufanisi mzuri zaidi.

Vituo vya usambazaji umeme vya Dar es Salaam vilivyotembelewa vikiwa bado vinaendelea na ukarabati wa mifumo ya zamani na kuweka ya kisasa ni pamoja na Muhimbili, City Center, Sokoine na Kituo cha Ilala.
MPAKA WAKOROMEWE NA RAIS NDO WAFANYE KAZI !
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,261
Likes
55,147
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,261 55,147 280
Kwa hiyo bila kupewa agizo wasingepeleka umeme, kumbe mnadai rushwa mpaka kwa wenye viwanda ili kuwapelekea umeme haraka
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,071
Likes
18,436
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,071 18,436 280
Tanesco Wapuuzi kabisa nyie...
Ina maana msingepigwa biti pale umeme usingefika??
Shame!!
 
Forum statistics

Threads 1,272,962
Members 490,211
Posts 30,466,006