Tanesco yajilipa biillion 6 kama bonus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco yajilipa biillion 6 kama bonus

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DENYO, Mar 1, 2011.

 1. D

  DENYO JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari za uhakika na kuaminika -tanesco imejilipa bilion 6 kama bonus, swali la msingi ni kwa mafanikio yapi? Tanesco inastahili kujilipa bonus ya bilion 6? Imeruhusu makamba jr na ngeleja kuwachezea na kushindwa kutekeleza mipango ya kiufundi badala yake inang;ang'ania dowans -dowans ni wezi na dowans haikubaliki au ni mgawo wa dowans huo? Ni aibu kujilipa bonus katikati ya giza. Dowans itaifishwe tukamate magereta na tutekeleze mipango ya kitaalam sio kufanya unafiki na kuongea na mtu aliyewashitaki na kuliangamiza taifa hili, siamini kama tanesco wanaweza kumbutia dowans kwa lipi?
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,497
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Kumbe wana pesa!!!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  what!...you must be kiding,bonus ya nn?...watanzania inabidi tuwashambulie hawa tanesco popote tuwaonapo,....yaani wanatushindisha na kutulaza giza halafu wanajilipa bonus.
   
 4. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bonus hela zinatoka wapi? maana sasa hivi kuna mgao.....mi na familia tulikuwa tunatumia 20,000 kwa wiki...sasa mwezi unakatika tunatumia 10,000 kwa mwezi kwenye LUKU......mi nilifikiri watakuwa wanafanya ridandansi right around this time.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa kwenye "budget" 2010/2011...

  Katika serikali, malipo ya "bonus" hayategemei ufanisi katika kazi bali ni kama pesa ilipangwa kulipia kitu fulani , basi itatumika kulipia kitu hicho kama ilivyopangwa
   
Loading...