Kwani Meneja wa Wilaya Muleba anasemaje kuhusu tatizo hili?Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Ndugu mpendwa Mteja wetuAu mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Nunueni sola mkiona wanawazingua, kwa mawasiliano zaidi kama unataka sola unaweza kunichek kwa no. hii 0769718625Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Cc:- Mh. Medard Kalemani MbAu mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Ndugu mpendwa Mteja wetuCc:- Mh. Medard Kalemani Mb
Huu ujumbe ni copy and paste kila siku kwà kila tatizo likiripotiwa JfNdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Huduma bora inaanza na taarifa kamili.Tunawasihi wateja wetu kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kamili na unapotoa taarifa kamili hakuna atakayeomba taarifa tena.JmHuu ujumbe ni copy and paste kila siku kwà kila tatizo likiripotiwa Jf
Mnaomba namba za simu, huku TISS wamejaa unategemea utapatiwa namba? Unategemea kwà mantiki hiyo matatizo ya tanesco mtayatatua?Huduma bora inaanza na taarifa kamili.Tunawasihi wateja wetu kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kamili na unapotoa taarifa kamili hakuna atakayeomba taarifa tena.Jm
Mteja anaweza kuchagua kutoa taarifa inbox au kwa njia nyingine anayoona inafaa kwake lakini sio vema kulalamika au kutoa tuhuma bila taarifa.JmMnaomba namba za simu, huku TISS wamejaa unategemea utapatiwa namba? Unategemea kwà mantiki hiyo matatizo ya tanesco mtayatatua?