TANESCO watupatie App

TANESCO watupatie App

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,114
Reaction score
5,114
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.

Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.

Wadau wa teknolojia inawezeakana?
 
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?

inabidi wabadili meter KWANZA iwe na 'facility' ya kufanya huo ujinga
gharama za kubadili izo mita kwa sasa Tanesco hawawezi afford plus kuna 10% itapotea kwa watu flani flani
 
inabidi wabadili meter KWANZA iwe na 'facility' ya kufanya huo ujinga
gharama za kubadili izo mita kwa sasa Tanesco hawawezi afford plus kuna 10% itapotea kwa watu flani flani
Mimi sio mtaalamu katika fani hii ila nimeangalia kwa mtizamo ufuatao,unanunua luku unaingiza namba kwenye remote na ikikubalika unakwa tayari umeunganishwa.

Kwa mantiki hiyo kuna connection kati ya meter na server ya Tanesco na kwa ujinga wangu niliwaza kuwa kama inawezekana watutengenezee app za NMB bank ili kila mwenye mita aweze kuunganishwa na server ya Tanesco.Just thinking aloud
 
Mimi sio mtaalamu katika fani hii ila nimeangalia kwa mtizamo ufuatao,unanunua luku unaingiza namba kwenye remote na ikikubalika unakwa tayari umeunganishwa.Kwa mantiki hiyo kuna connection kati ya meter na server ya Tanesco na kwa ujinga wangu niliwaza kuwa kama inawezekana watutengenezee app za NMB bank ili kila mwenye mita aweze kuunganishwa na server ya Tanesco.Just thinking aloud
elewa kitu kimoja, mita za sasa za Tanesco haziwezi fanya iyo kitu, lazima WABADILI mita KWANZA,
na hawako tayari kuingia iyo gharama kwa sasa
 
elewa kitu kimoja, mita za sasa za Tanesco haziwezi fanya iyo kitu, lazima WABADILI mita KWANZA,
na hawako tayari kuingia iyo gharama kwa sasa
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.

Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme. Token lazima ziwe verified kuwa ni valid na hyo inamaanisha zina access na server flan iliyopo tayari.
 
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?

Mita hizo zipo ila ni postpaid na zinatumia line ya simu, remotely unaweza ona umeme uliotumika kwa kipindi fulani. Tanesco ready wana hiyo Energy portal kwa ajili yetu sisi wateja Wakubwa
 
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?
App zote za taasisi za serikali zinakuaga za kijinga sana. Hazifanyagi kaz vizuri. Kma app ya ttcl ni shida tupu. Hata website zao ni shida tu
 
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao?

wana AMR, ni chache mno, na huwezi weka token, ni kwa kusoma tu, na ni special kwa suspicious customers ( hasa wa 3-phase), inakaa juu ya nguzo, lakini bado uyo kastama ana mita ya kawaida

Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine?

wateja wakubwa wa tanesco ( eg: viwanda, migodi , ZECO ) wanatumia post payment systems ( anatumia then analetewa bill analipa au anakaa na deni )
 
Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme

hakuna cha server inayo link na mita , tariff class allocation/management, algorithms zote (STS systems) zinafanyika ndani ya mita, inang'amua token na kuzibadili kwenda units za umeme,
 
hakuna cha server inayo link na mita , tariff class allocation/management, algorithms zote (STS systems) zinaanyika ndani ya mita, inang'amua token na kuzibadili kwenda units za umeme,
Duuuh hapo kazi kweli. Basi hamna jinsi
 
Huo mfumo tayari upo ila umeanza kwa watumiaji wakubwa wao wakinunua tu automatic inasoma huna haja ya kuingiza tena na unapaswa ujue gharama za kuanzisha hiyo kitu ni kubwa sana unahitaji uwe na smart meters
 
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.

Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.

Wadau wa teknolojia inawezeakana?
Ndio inawezekana
 
inabidi wabadili meter KWANZA iwe na 'facility' ya kufanya huo ujinga
gharama za kubadili izo mita kwa sasa Tanesco hawawezi afford plus kuna 10% itapotea kwa watu flani flani
Umeona upande mmoja ambao uko sahihi. Kuna option ya pili, kutengeneza device ambayo ita act kama remote control wirelessly communicating with Meter and at the same time connected to TANESCO servers via some IoT protocols. Then TANESCO wata authorize Vendor kuuza kwa wanaotaka.

Selling point: TANESCO wataweza kupata realtime history ya wateja na kuwa assign automatically kwenye tariff inayowafaa, juu au chini kulingana na matumizi yao kwa miezi 3 au 6 iliyopita.

Watu watapata taarifa zao na kujaza umeme popote pale duniani, directly to their meters.

Advertisement: Tuna uwezo wa kuifanya hiyo kazi perfectly!
 
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.

Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme. Token lazima ziwe verified kuwa ni valid na hyo inamaanisha zina access na server flan iliyopo tayari.
Haziko connected, to the best of my knowledge.
 
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.

Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme. Token lazima ziwe verified kuwa ni valid na hyo inamaanisha zina access na server flan iliyopo tayari.

Usilazimishe mambo, mita za luku zina engine ya kung’amua token no server needed. wewe unataka server jee tanesco wana uwezo wa kuzisambazia mita zote conectivity ili zionane na server? kama tuu mawasiliano ya simu hayajafika nchi nzima huoni kama kuna tatizo litazaliwa hapo ikiwa pamoja na watu kukosa huduma kisa mita yake haipo connected na server
 
Back
Top Bottom