Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
- Thread starter
- #21
Acha kuwayawaya , afanye research kwani yeye mtumishi wa Tanesco au anasomea mambo ya electric distribution. TANESCO wenyewe hawajasema lolote sasa wewe uo utafiti uufanye kwa gharama za nani?!! mashaka yanakuja zaidi umeme kukatwa kila saa moja hasa siku UKAWA inapokuwa na tukio muhimu.
N.B. CCM ijue inapokata umeme inasababisha huduma kama maji kukosekana hivyo kuongeza chuki kwa wapiga kura, pia karaha kubwa iko hospital kwa wagonjwa wanaohitaji kufanyiwa upasuaji na kufanyiwa vipimo mbalimbali. Naishauri CCM ifikirie njia nyingine ya kuthibiti wapinzani na siyo hii inayoiongezea CCM chuki kubwa kwa wapiga kura, kama tabia hii itaendelea CCM subirini kipigo kikali octoba.
Very well said!