Ana kipaji Mungu amempa huyo kijana je Tanesco watamtafuta huyo kijana? au kufuata nyayo zake huyo kijana?YouTube- Moving Windmills: The William Kamkwamba story
Nafikiri TANESCO wanahitaji huyu kijana awafundishe kazi na kuachana na Richmond. lol.
Hivi serikali yetu inamchango gani kwenye kulea na kuendeleza vipaji au kipaji kama hiki?