Ni kweli mkuu elffu 40 hats Mimi nilipata unit 112! Hapo unaambiwa kodi ni 7230 kwa hiyo umeme hapo ni 32700! Tutanyooka tuKutakua na shida,
Maana mi i nimenunua jioni hii, Tshs 40,000/= nimepata Units 112, means kila Unit 28 ni Tshs 10,000/=
Sina deni lolote.Debt recovered ni tsh 1847.63 yaani ni deni.unalodaiwa lolopelekeamkipata unit chache za umeme.
Nshaituma mkuuTunaomba namba yako ya mita mkuu ili unachosema tukione
TrueMie nimenunua leo wa elfu 25, units 70.2 ambazo nimekuwa nazipata kila ninunuapo umeme wa bei hiyo na tangu walipoondoa service charge.
0754814577Na namba ya simu
Hivi zile fedha zilizokuwa zinafichwa na wafanyabiashara ili kumhujumu zilishapatikana??
Au kashachapisha nyingine ili kuwakomoa??
hahahaha sasa unasema hukuwa na deni wakati unaonesha ulikuwa nalo na wamerecover hahahaUnits 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09
Total cost : Tsh 10000.00
Sikuwa na debt yoyote mimi.
Hivi na ile huduma ya tariff unit77 kwa elf10 hua mnailimit isivuke mwezi ama inakuaje?Tunaomba namba yako ya mita tarehe uliyonunua na kiasi ulicholipa ili tukupatie ufafanuzi
Mkuu, nashangaa lilikotoka. Labda unisaidie kujua madeni ya TANESCO yanavyokujagahahahaha sasa unasema hukuwa na deni wakati unaonesha ulikuwa nalo na wamerecover hahaha
Siku hizi ni sawa tu,Unapaswa ujue kuna tofauti kubwa sana unaponunua umeme mwanzo wa mwezi, katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.
Ni tofauti zipi mkuu?Unapaswa ujue kuna tofauti kubwa sana unaponunua umeme mwanzo wa mwezi, katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.
Mkuu, hujaona alama ya kuuliza?mtu una daiwa halafu unasema umeme umepanda...
Nililipa hela yote Tanesco.Ulibadilishiwa.mita.hivyo deni.la kwenye mita ya zamani.likahamishiwa.kwenye mita mpya
umesahau baa la njaa mkuu mtu akitangaza tu katumbuliwamachinja waliruhusiaa saivi wanatembezewa kipigo
sukar alisema bado bei ikapanda
imekuaje la umeme likakushtua?
Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09
Total cost : Tsh 10000.00
Sikuwa na debt yoyote mimi.