Tanesco vs uchimi viwanda

mperembi

Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
35
Reaction score
18
Hivi majuzi niliposti Uzi juu ya tanesco kusini kuzorotesha uchumi kwa kukata kata umeme takriban Mara kumi kwa siku moja
Wenyewe walijibu wakitaka niwabainishie in maeneo gani hasa yenye changamoto hizo.
Niliwatajia kuwa no MTR mjini vijijini tandahimba na mji was nanyamba

Chakustaajabisha badala ya tatizo kupungua limeongezeka Mara dufu.Eti naskia tangu waanze kuiuzia dangote umeme wameshindwa kumudu huduma za kawaida kwa wananchi.
Tanesco hii in kwa ajili ya nani hasa....zima washa zima washa hadi lini ...tumichoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni wana kusini huenda labda kuna mradi mkubwa wa umeme huko
 
Mkuu sio kama tanesco wanapenda kukata umeme,maana wao ni wafanyabiashara na umeme ndo unawaingizia pesa, mda mwingine unakuta kuna matengenezo kwenye laini kubwa,vile vile unaweza kuta sehemu zilizopita laini kubwa ni chafu miti ikigusa tu waya zile umeme unakatika wenyewe,ombi tanesco mjaribu kukagua miundombinu yenu ili wanakusini wafurahie huduma zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…