Mbezi juu mtaa wa TATEDO hatuna umeme siku ya nne sasa kwa kwa sababu ya kuanguka kwa nguzo. Ukipiga simu wanasema wanakuja, ukienda ofisini kwao Tangi bovu wimbo ni ule ule gari lilikuwa bovu. Hivi tozo ya service charge tunayolipa kila mwezi inafanya nini? Badra Masoud umo humu jamvini si utasemaje