Tanesco Temeke haitimizi wajibu wake

Wiki ya pili sasa wakazi wa Keko Mwanga A wilaya ya Temeke hatuna umeme. Ripoti zimetolewa lakini hakuna linalofanyika. RIP Magufuli
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako

Eneo

Simu

Namba ya taarifa

Umetoa taarifa lini

Ahsante

Simu yetu:0748550000
 
Na wakumbuke kuweka Surge Protector/Diverter kwenye Transformer zao, radi moja, wote tuliokuwa connected kwenye hilo dude, vifaa vimeungua; na hapo hakukuwa na umeme kama ilivyo ada!

Radi moja tu hiyo.
 
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako

Eneo

Simu

Namba ya taarifa

Umetoa taarifa lini

Ahsante

Simu yetu:0748550000
Kwahiyo wewe ndani ya hizo wiki 2 hujafika ofisini na kupata hizo taarifa. Hiyo namba uliyoweka imepokea taarifa zaidi ya 10 za wakazi wa eneo husika. Check your office
 
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako

Eneo

Simu

Namba ya taarifa

Umetoa taarifa lini

Ahsante

Simu yetu:0748550000
Hivi Tanesco baada ya kuingia kwenye mfumo wa mita za LUKU mnatumia mfumo gani kukagua mita zote physically kwenye majumba? Kuna siku wafanyakazi wa Tanesco walikuja kukagua nyumba ya jirani yangu wakimshutumu kwamba mita yake ina deni la muda mrefu sana. Baada ya Kusikiliza malumbano yao nikabaini kwamba jamaa yangu alinunua nyumba ya zamani miaka mitatu iliyopita na kuivunja na kujenga upya au kuiboresha. Akawasiliana na Tanesco wakaja ku disconnect umeme kwa muda ili kazi yake iendelee. Sasa tokea walivyo disconnect inaonekana hakukuwa na kumbukumbu za hiyo mita kwa sababu jamaa alivyomaliza ukarabati wake waliokuja kurudisha umeme hawakuwa na mawasiliano wenyewe kwa wenyewe. Hivyo kukawa hakuna kumbukumbu nzuri na jamaa akawa anawauliza nyie mara ya mwisho mlikuwa lini kujua kwamba ukarabati umeisha na umeme unahitajika kurudishwa? Ikaonekana hawajafika for more than 3 years
 
Back
Top Bottom