Mkuu, unachopaswa kutambua ni kwamba hii ni
TANESCO ya January.
Na January huyu ndie aliekua chini ya ofisi ya mama kipindi alipokua kwenye wizara ya mazingira ilokua chini ya mama.
Na nihuyu ndie aliyesuka mipango ya upigaji flani kipindi John akiwa ziarani nchi moja ya pembezoni mwa Songea, then Jonh alipo tonywa anageuka chap na bila simile akamtumbua January.
Baada ya John kuwa hayati, mama akamrudisha January chap, na akampa wizara yenye miradi mikubwa na mambo mengi tatanishi (ili kijana akaendeleze michongo kama kawaida).
Anyway........ Kwaleo ngoja niishie hapa