TANESCO: Taarifa ya kutokea hitilafu ya umeme Wilaya ya Kigamboni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA*

*TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU WILAYA YA KIGAMBONI*

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Kigamboni linasikitika kuwataarifu wateja wake wa wilaya ya Kigamboni
kuwa leo tarehe 05/06/2017 kuanziasaa 01:44 asubuhi kumetokea hitilafu.

*SABABU* Tatizo la kiufundi katika line ya mjimwema.

*MAENEO YANAYOATHIRIKA*
Mjimwema, Ungindoni, Mikwambe Kisarawe 2 na maeneo jirani.

*JITIHADA*
Mafundi wetu wapo eneo la tukio wakiendelea na matengenezo ili kurudisha umeme katika maeneo yote yaliyoathirika.

Tunaomba radhi kwa usumbufu.

*Imetolewa na*
*Ofisi ya Uhusiano na wateja*
TANESCO- TEMEKE
 
Tunapataje hard copy ya hii taarifa ili tuweze kuitumia kisheria
 
Back
Top Bottom