TANESCO Shinyanga mna maksudi gani?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,145
2,000
Miaka yote mnakata umeme kila jumapili,na sasa mlipumzika kidogo kukata umeme hata hiyo jpili,leo mmeona kuna match kubwa mmeamua kukata umeme,hivi mna hisa na wamiliki wa vibanda umiza?mnaboa sana,au mnataka twende kwenye match ya stand na mwadui?Kama ni hivyo kuanzia leo naiombea njaa stand united ishuke ili msikate umeme tena!
 
mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
279
250
Miaka yote mnakata umeme kila jumapili,na sasa mlipumzika kidogo kukata umeme hata hiyo jpili,leo mmeona kuna match kubwa mmeamua kukata umeme,hivi mna hisa na wamiliki wa vibanda umiza?mnaboa sana,au mnataka twende kwenye match ya stand na mwadui?Kama ni hivyo kuanzia leo naiombea njaa stand united ishuke ili msikate umeme tena!
Tanesco na wapiga debe wa stand wap na wapi
Mbona tangazo limesha tolewa kabla na limeeleza sababu
Mnyonge myongeni haki take mpeni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom