Haya in ya kweli kipindi chao hakina tija!Sioni umuhimu wa hiki kipindi cha kutuelezea miundo mbinu ya TANESCO na jinsi ya kuzibiti wizi wa umeme. Na huku wao TANESCO wanatuibia sisi Watanzania kwa kutumia tungo tata 'Service Charge'
Kwa taarifa yako meter Za conventional hazina service chargeNijuavyo service charge ilikuwa kwa ajili ya zile mita za kusoma ila mita za sasa za Luku Service charge ni wizi tu hakuna kingine