sasa wamewaambia ukweli mjini mmekuja juzi imekuwa balaa kwani huko vijijini muliishi vipi?
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri, pale mlimani wanafunzi walipogoma eti hawawezi kulala chumba kimoja watu wanne enzi hizo, mwalim majibu aliyotowa wenye kumbukumbu watatuelezea zaidi