Tanesco !'Njiro' kuna nini mbona hamkati umeme.

Tanesco !'Njiro' kuna nini mbona hamkati umeme.

Mkuu Capt Tamar ni kweli j2 umeme ulikatika lakini hapakuwa na load shieding sababu kubwa ilikuwa ni kukatika kwa waya ndio maana baadhi ya nyumba zilikuwa zinapata umeme na nyumba nyingine zilikuwa hazipati.Siku nyingine ukiona shida ya namna hiyo piga simu emergency desk TANESCO watatua tatizo lako mara moja.Number ya simu emergency desk ni 272503552.

Labda hukai njiro!! Au umeamua tu kudanganya watu! Jumapili iliyopita kabla ya jana njiro hakukuwa na umeme kabisa, tokea saa nne asubuhi hadi asubuhi ya siku iliyofuata, mimi naishi njiro, kituo kinachojulikana kama Tanesco, chini tu ya chuo cha uhasibu, , lakini adha ya umeme ni kama kawaida, nikikuta giza kuanzia maeneo ya relini kushuka chini basi nanunua mishumaa kabisa kwani najua hata home kutakuwa giza, sijui upendeleo gani munaozungumzia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom