TANESCO ni kama Tembo Kila anaepata nafasi anakata mnofu mpaka shirika linaelekea kufa halafu Leo mnaleta siasa za kijinga kutafuta kiki

Kumtoa pale Nishati Kalemani ni kosa kubwa la kiufundi.

January angepelekwa Ujenzi akasimamie bandari ya bagamoyo!
Hana qualification za wizara ya ujenzi. Hizi wazara mbili kazi ni technical zinahitaji mtu mwenye elim inayoendana na wizara husika. Random politician hato weza
 
Awamu ya Tano chini ya JPM kwa kuona Hilo ndo wakaja na suluhu ya haya matatizo kwa kukataa Tena kuingia mikataba mipya .Na njia zenyewe ni kujenga Nyerere dam ili hatimae tuwe na umeme wetu wa uhakika
2930908_IMG-20210917-WA0003.jpg

Kwaiyo huyo mtu wenu hivi ndio mnamuona kaja na suluhu, Je mahitaji ya jumla ya umeme hapo ni kiasi gani, kuna wateja kiasi gani na je pato la TANESCO hapo kwa mwezi ni kiasi gani? Ili tujue dhamani ya pesa kuweka facility kama hii shambani
 
Kama nyie mlivyotafuna fedha za umma kwa kile kundi lenu la watu wasiojulikana chini ya dhalimu aliye motoni.
akamba ametoa kauli hyo akijua kabisa how tough the task it is , anajua watashindwa tuu, na lengo awaondoe baadhi ya wafanyakazi pale , hii chuki kuna sku tutafika tunapopataka , alichokuwa anakitaka amekipata haya tafuneni nchi ya Baba zenu hii
 
Chini ya waziri makamba tegemea the worst. Amepelekwa hapo kupendelea ubinafsi. Utamsikia akija na sera za kudhoofisha maslahi ya umma akijidai mchumi wa kiliberali. Yetu macho ila hawa wezi wajihadhari. Sio mwisho wa kutokea magufuli maana anaishi mioyoni mwa watanzania.
Kwa hali ya shirika ilivo itachukua miaka mingi Sana kumaliza hii mikataba ya kilaghai.Na hapa kama wasipoingilia wenye Nchi yao kunusulu hii hali sijui kama itaisha .Usalama wa Taifa kama mnataka nchi ipate maendeleo ingilieni kati kuhusu mikataba ya Tanesco ni ya wizi kwa ajili ya kunufaisha watu wachache.Tuipende nchi yetu kwa vitendo .Inaumiza Sana nchi kuendeshwa kihuni kiasi hiki na hatimae Wananchi ndo wanatumia kwa haya matozo ya ajabuajabu ,tuseme inatosha.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ndio maana Magufuli alipgundua hilo akaamua kufochs kwenye maji ambapo unit moja inazalishwa kwa shilingi 36 na maintance cost yake ni cheap sana. Kwenye hydro gharama za kwanza za investment ndio hua kubwa lakini baada ya hapo maintance cost ni cheap sana na unafanya overhaul maintance baada ya miaka 15 ama 20 wakati gesi ni kila baada ya miaka 2 ama masaa elfu 50
Umetumia rejea gani au kuna utafiti ilifanyika kuja na hizo estimations, tatizo la umeme Tanzania sio uwekezaji au vyanzo vya umeme ila tatizo ni miundombinu za kusambaza na siasa za kipumbavu
 
Nlitaka kumpa taarifa mleta mada kua tanesco ilishaacha acha kupokea ruzuku kutoka serikalini tangu 2017. Now wanajiendesha wenyewe baada ya ile mikataba dhalimu kupigwa chini, nadhani umebaki wa Songas ambao if am not mistaken unaisha mwaka 2024 Oct(correct me if am wrong).
Ss sijaelewa wateendelea nao au wataupiga chini km kamati ya bunge ilivyoshauri...usikute Kalemani alikua anawabania or alikua anawapigia chapuo ndo mana wakampiga chini...who knows...
 
Tuondoe kuwa bila Tanesco huwezi pata umeme!turuhusu serikali zote za mitaa zenye uwezo wa kuzalisha umeme zifanye hivyo na ziuzie wakazi wake directly(tanesco wachukue fungu lao la miundo mbinu)turuhusu private people's,vyombo vya kidini vizalishe umeme kama vinauwezo na ilibidi wawauzie tanesco,umeme rafiki hasa wa solar na upepo upewe nafasi ya upendeleo,gawa hili shirika la umeme ziwe kampuni mbili,moja ya uzalishaji tu na nyingine usambazaji tu ili kuua urasimu wa Tanesco,elimu muhimu kwa watumiaji wa umeme upewe kipaumbele kikubwa,zima kila kitu kama hukitumii!vyombo vyote vya umeme chomoa socket kabisa kama havitumiki,kale kataa kekundu kanatumia umeme!
Wakifanya hivo ndo utakua upenyo wa kupiga kwa mikataba ya wizi
 
Umetumia rejea gani au kuna utafiti ilifanyika kuja na hizo estimations, tatizo la umeme Tanzania sio uwekezaji au vyanzo vya umeme ila tatizo ni miundombinu za kusambaza na siasa za kipumbavu
Upo sahihi ni siasa za kipumbavu ndo zinaleta hii hali.Huwezi kilopoka eti staki umeme ukatike Tena wakati ukweli unajulikana shirika linajendesha kwa hasara.Wapeni Tanesco bajeti ya kutosha wakalabati miundombinu yao muone kama umeme utakatika.
Vunjeni mikataba ya kilaghai ili shirika lipate mapato ya kutosha ili ndo mpate Sababu za kuwalaumu kuhusu kukatika umeme kama hamuwezi acheni siasa za kutafuta kiki.
 
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega uchumi Chao .Wakawa wanasaini mikataba ya kihuni lengo likiwa kupata asilimia kumi.
Ikaja awami ya
Mr Clean a.k.a Ben mambo yakendelea hivohivo Tena ilafkia muda shirika likataka kubinafisishwa .

Huyu alikuja na sera ya kutolipa shirika resources za aina yoyote hasa kuajili wafanyakaza wapya lengo likiwa ni kilizoofisha shirika ili hatimae waliuze.Sijajua nini kilitokea hadi likasalimika kuuzwa
Kutokana na shirika kutokua na lasilimali za kutosha kujiendesha mnakumbuka mwaka 2006 mgao wa umeme ulivokua mkubwa hadi wanasiasa Tena wakaingia mikataba ya dhalula kuinusulu Nchi isiwe gizani,mambo ya Richmond na hatimae Lowasa kuachia ngazi.

Awamu ya nne nayo ikaja kwa uchu mkubwa Sana kulimaza shirika kwa mikataba ya kihuni lengo likiwa lilelile la kilimaliza .Waanasiasa kwa kushilikiana na wafanyabiashara wakubwa wamekuwa mabilionea wakubwa kwa kulitumia hili shirika na kilifanya lishindwe kijiendesha .Kwa taalifa yenu tu Tanesco inaijiendesha kwa hasara hivo inapewa luzuku kutoka serikalini.Yote ni kutokana na ufisadi wa kutisha zidi ya hili shirika.

Awamu ya Tano chini ya JPM kwa kuona Hilo ndo wakaja na suluhu ya haya matatizo kwa kukataa Tena kuingia mikataba mipya .Na njia zenyewe ni kujenga Nyerere dam ili hatimae tuwe na umeme wetu wa uhakika.
Sasa Leo anatokea mwanasiasa anadanganya watu eti sitaki umeme ukatike Tena wakati Tanesco wanajiendesha kwa luzuku ya serikali Sasa mtu unajiuliza hivi Hawa jamaa wanatumia akili gani?
Je wamelipa shirika hela ya kufanyia mabolesho ya mitambo na njia za usambazaji umeme wakashindwa?
Nawaomba wanasiasa muache siasa kwenye mambo ya muhimu ya Nchi yetu maana tatizo la Tanesco linajulikana.Shirika halina PESA kwa ajili ya kujiendesha .Tena kama mna Hekima mnatakiwa mtoke mbele ya uma wa Kitanzania muombe msamaha kwa hujuma mlizowafanyia Watanzania.

Nimeandika machache Sana kuhusu hili shirika mnataongezea mengine lakini mkumbike viongozi wazalendo katika Nchi hii ni wachache Sana wengi wapo kwa ajili ya kupoga
Kwa kweli January kaingia Wizara na gia feki.
TANESCO yenye madeni ya kutisha ati hatutaki umeme ukatike.
Miundombinubyenye ni dhoofu na ya miaka mingi.
Tuone miujiza ya kubadilisha miundombinu hiyo ndani ya wiki mbili.
 
Nlitaka kumpa taarifa mleta mada kua tanesco ilishaacha acha kupokea ruzuku kutoka serikalini tangu 2017. Now wanajiendesha wenyewe baada ya ile mikataba dhalimu kupigwa chini, nadhani umebaki wa Songas ambao if am not mistaken unaisha mwaka 2024 Oct(correct me if am wrong).
Ss sijaelewa wateendelea nao au wataupiga chini km kamati ya bunge ilivyoshauri...usikute Kalemani alikua anawabania or alikua anawapigia chapuo ndo mana wakampiga chini...who knows...
Maana hata mimi namshangaa kwamba hadi leo Tanesco inapumulia mashine kiuendeshaji na kimapato, watu kama hawa ndo wanatumika kuja kuharibu hali ya hewa ili ionekane shirika hali perform wapenyeze dili zao za kipigaji, turudi kulekule enzi za kina msoga ambapo ngeleja kazi yake ilikuwa ni kuwahubiria wabunge kuhusu megawatts huku nchi ikiwa imejaa giza. Sijui mzee wa megawati atakuwa anakula bata zake wapi kwa sasa.......
 
Hivi jamani huko Tanzania yale mabwawa maarufu ya kuzalisha umeme ya Kidatu, Mtera, Kihansi,Pangani yaliacha kuzalisha umeme? au ndo stories zilezile zinaendelea kama kawaida.... poleni sana na kaazi iendelee...
Yanazalisha lakini hautoshi
 
TANESCO ni shamba la bibi. Pale lile shirika kama alivyosema waziri ndio shirika kubwa kuliko shirika lolote Tanzania, liko liquid, makusanyo ya karibu trilioni 2.

Pale wanasiasa wakitaka kupiga hela wanapitia tanesco maana kuna cash ya maana pale, wanasiasa wanashinikiza tanesco kuingia mikataba isiyo na maana yoyote, mikataba ya hovyo halafu tanesco inaingia gharama za kulipa kwa gharama za walipa kodi.

Makampuni kama GE, Siemens, WARTISILA, Zwart na mengine yameingia mikataba ya hovyo pale tanesco kwa shinikizo la wanasiasa. Tanesco inaingia gharama kubwa sana kulipa hizo kampuni.

Kwa mtu asie elewa, gharama ya kuzalisha unit moja ya gesi ni shilingi 110, sawa na kutumia jua lakini gharama za maintance ya mitambo ya gesi ni kubwa kuliko kitu chochote hivyo kufanya umeme wa gas kua na gharama za juu sana kama vile wa mafuta.

Ndio maana Magufuli alipgundua hilo akaamua kufochs kwenye maji ambapo unit moja inazalishwa kwa shilingi 36 na maintance cost yake ni cheap sana. Kwenye hydro gharama za kwanza za investment ndio hua kubwa lakini baada ya hapo maintance cost ni cheap sana na unafanya overhaul maintance baada ya miaka 15 ama 20 wakati gesi ni kila baada ya miaka 2 ama masaa elfu 50.

Pale kinyerezi GE ya marekani inafyonza zaidi ya bilioni 70 kwa kila baada ha miaka 2 kuja kufanya maintance, hivyo hivyo kwa Siemens anavyonza mabilioni kila baada ya mwaka mmoja pale ubungo kwa kufanya maintance.

Katika maamuzi Magufuli alifanya ya busara ni ya Julius Nyerere Hydro Power Plant kule rufiji.
Mwanasiasa wa Afrika ni hatari sana. kwani haya hawayajui? Narudia tena siasa na ushirikina ni chanzo cha umaskini katika bara la Afrika.
 
Nlitaka kumpa taarifa mleta mada kua tanesco ilishaacha acha kupokea ruzuku kutoka serikalini tangu 2017. Now wanajiendesha wenyewe baada ya ile mikataba dhalimu kupigwa chini, nadhani umebaki wa Songas ambao if am not mistaken unaisha mwaka 2024 Oct(correct me if am wrong).
Ss sijaelewa wateendelea nao au wataupiga chini km kamati ya bunge ilivyoshauri...usikute Kalemani alikua anawabania or alikua anawapigia chapuo ndo mana wakampiga chini...who knows...
Mkuu unaweza kutusaidia wanapa kiasi gani hiyo unaiita faida manake Mimi najua faidi inayoptikana ni kwa ajili ya kulipa madeni na mishahara in short Tanesco inaijiendesha kwa luzuku ya serikali.
 
Back
Top Bottom